Kenya Ni Vema Mkaondoa Vikosi Somalia

Huu ndiyo ugomvi mkubwa kati ya Kenya na Somalia...


Somalia wanataka kenya iondoe majeshi yake ndani ya nchi yao... ni sawa na kuwaambia "Mind your own business"


Cc: mahondaw
 
Sikumbuki na wala sitakiwi kubisha kuwa Kenya walienda kivyao.

Je, baada ya Kenya kufika huko hawakujumuishwa ndani ya AMISOM?

Nashauri, tuwe tunajaribu kufanya utafiti.

Mimi nimezitaja nchi zinazochangia vikosi baada ya kupitia kwenye tovuti ya AMISOM, na Kenya imo. Sasa naona nimedanganywa. Au hii tovuti haiko updated.

Pitia tovuti hii ya AMISOM; AMISOM

Chini kabisa utaona vikosi, naambatanisha na screenshot;View attachment 1000041

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wapo lakini ugomvi wao mkubwa na al Shabab ni kule kwenda kivita. Hawa AMISOM ni tofauti na Jeshi la Kenya lilipoenda kule. Ndiyo maana katika video yao wamesema Kenya wameingia vita wasiyoijua.
 
Back
Top Bottom