game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,423
- 23,416
Why mnakomaa kufanya distractions na huhamisha mada?Nani amesema bango liko Dar? Una wazimu wewe?
Turudi kwenye topic. Umeona hiyo Instagram post?
Why mnakomaa kufanya distractions na huhamisha mada?Nani amesema bango liko Dar? Una wazimu wewe?
Nani amesema bango liko Dar? Una wazimu wewe?
Kwani Tanzania nzima ni Dar tu?Tulia bwana mdogo. Mbona tangu mwanzo mnasema ni Tanzania??
😂🤣😁
Uache kuvutia bangi chooni. Utashangaa umebakiwa na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
🤣🤣🤣
Mnafanya juhudi kuhamisha Mada, hebu turudi kwenye topic, fungua hiyo Instagram post. Kenya sio nchi ni takataka..
Kuna Mkenya amekoment kuwa inatakiwa nchi ifungwe kwa mwaka hivi ili mfanye some serious renovations,
kwamba mkenya anatoa atention siku hizi.Wewe nilikuambia ukajifunze kingereza ndio ujadili na Wakenya chochote maana kitaboresha IQ yako, mada hata sijahangaika kujua inaongea kuhusu nini, nilisoma kichwa tu nikajua ni wale wale akina nyie wahangaikaji wa Buza mnaotafuta attention kwa Wakenya.
Mkuu mimi nipo hapa Namanga Wakenya hawana time na mtu yeyote hata majirani wameishi miaka kadhaa mtaa mmoja hawajuani!!!Kenya hiyo
Sio bongo mzee...😂😂😂
endelea na maisha hapo namanga.Mkuu mimi nipo hapa Namanga Wakenya hawana time na mtu yeyote hata majirani wameishi miaka kadhaa mtaa mmoja hawajuani!!!
Hakuna chochote Sisi Ndio tunajihangaisha na wao.... Na wao wanahangaika na arobaini zao
kwamba mkenya anatoa atention siku hizi.
kila mkenya!!!we popoma kweli,wakenya wote wako hapa!!!!Kwani nyie hukesha huku mkifuata fuata kila Mkenya na kujibu kila comment ya Mkenya huwa mnasaka nini kama sio kiki....
kila mkenya!!!we popoma kweli,wakenya wote wako hapa!!!!
halafu hii ni platform ni ya tz,kwanini unataka kutupangia cha kufanya!!!
unanipangia wa kumjibu sasa humu jamiiforums.Umekua kama danga kwa Wakenya humu, lazima ujibu kila comment, sasa sijui hukupa kiki gani hiyo au huwa unapiga nyeto.