kenya na simu feki

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,634
10,715
Wakuu hebu nisaidieni inawezekana vipi kubaini simu fake na kuzitoa kwenye system(hewani)?
Je kama ni hivyo kubaini simu ya wizi si inawezekana pia

Hebu nifafanueli kitalaamu how this work
 
subiri majibu toka serikali ya kenya..ndo utaelewa wamefanyaje kudhibiti iko kitu..
 
Du umekuja kivingine tofauti na heading
Ila kwa swali la 2 ipo system ya kudhibiti simu yako hata km unaitumia visivyo ambapo.Tume ya mawasiliano TCRA walitoa sharti llakila mtumiaji ajiandikishe kubba makampuni waliandika no za Line na za simu ambazo nyuma ya simu ujitoa betri (hutambulika km IMEI) au unabofya *#06# ambapo kuna tarakimu 15 wajuzi wanazitambua kungalia no za kati kuwa ni orijino au Kampuni
gani
Kuna baadhi ya simu za BB ni lazima ujiandikishe kwao kupitia sumu yako vit km jina e-mail, Mji, Nchi hata saa kimataifa up mstari gani
Swali la kwanza lipo.TCRA au kiPolisi zaidi mfano wizi kampuni husika mpaka liwasiliane na Polisi kubaini Mwizi upo wapi na unatumia nguzo gani maana zibba majina
Kwa hiyo IMEI ya simu hizo wanaBlock
 
Sina uzoefu sana ila kenya waliambiwa watume IME<serial> number zao kuweza kubain namba fake.
 
Taritibu kenya ni bonyeza *06# kupata IMEI number. Tuma IMEI namba kwenda 1555. Utapata ujumbe mfupi wa maneno /SMS kueleza kama simu ni feki au genuine.( Namba 1555 inakungunisha na server ambayo inayo Database ya IMEI namba ya simu zote zinazo tengenezwa na kampuni tofauti)
 
nasikikia kuna contena tano za mkubwa kenya ziliibiwa zikiwa na simu za kichina
so ili aloiba asifaidi wamefungia masimu yote ya kichina
chezeiya wenye nchi wewe
 
Kwamaana nyingine inawezekana kuiblock emei ya simu ya wizi isitumike popote kwa mitandao ya nchi husika?
 
Leo nilikuwa Kariakoo, Watanzania jamaa wameenda Kenya kufuata simu zilizofungiwa, kisha wanaomba viwandani zilipotengenezwa ili wapate code za kufungua hizo simu. Kuna Mtanzania mmoja amesema ameweza. Wakenya wanashangaa kuona Watazania wanaenda kununa simu zilizoharibiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom