Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,847
- 7,760
Niliposikia hii habari BBC Swahili, nikajua kumekucha. Nini hatma ya Tanzania na majirani hawa haswa taifa chokozi kama Rwanda? Uganda, Burundi, congo na Tanzania tutakipata kisawasawa. Just the matter of time.Tunamkabidhi jukumu Putiiin atusaidie kuwafanyia technic zile za milima ya Iran hao vibarakwa
Ngoja tuone!!Niliposikia hii habari BBC Swahili, nikajua kumekucha. Nini hatma ya Tanzania na majirani hawa haswa taifa chokozi kama Rwanda? Uganda, Burundi, congo na Tanzania tutakipata kisawasawa. Just the matter of time.
Rwanda ndio mtihanNiliposikia hii habari BBC Swahili, nikajua kumekucha. Nini hatma ya Tanzania na majirani hawa haswa taifa chokozi kama Rwanda? Uganda, Burundi, congo na Tanzania tutakipata kisawasawa. Just the matter of time.
Hizo resources wanazotumia huko bora wangezitunza kwaajili ya matumizi ya baadaeAisee! Mimi nadhani itakuwa busara kama Tanzania itatoa majeshi yetu Kongo.
Otherwise tutajikuta jeshi letu linapambana na US na washirika wake Kongo tukidhani linapambana na M23!
Hata mimi nimewaza kama wewe ila ngoja nisome maoni ya wadauNiliposikia hii habari BBC Swahili, nikajua kumekucha. Nini hatma ya Tanzania na majirani hawa haswa taifa chokozi kama Rwanda? Uganda, Burundi, congo na Tanzania tutakipata kisawasawa. Just the matter of time.
Mkuu , NATO wameshtuka karibu kunakucha.Ukraine mpaka leo haijafanukiwa kujiunga na NATO, au wanadhani NATO ni sawa EAC.