Kenya Ina Mamlaka Maalumu "Senate" La Kuidhinisha na Kupandisha Mji kuwa Jiji au Manispaa.Tanzania Yetu ni Mamlaka gani Huwa Inatoa Hadhi Kwa Miji?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Naandika haya Ili kuonesha utofauti uliopo baina ya mwenzetu na Tanzania.

Maana nakumbuka mtu aliibuka from no where na kutamka ooh kuanzia Leo Dodoma ni Jiji.

Akaja tena Ili kufurahisha watu,ooh natamka kuanzia Leo Kahama ni Manispaa.

Swali.
Je Tanzania hapa Kuna chombo Cha kuidhinisha na Kupandisha Miji kutoka hadhi Moja kwenda nyingine mfano kutoka Mji kwenda Manispaa na kutoka Manispaa kwenda Jiji?

Na kama kipo mbona sijawahi sikia au mbona labda maamuzi yake hayaheshimiwi?
Screenshot_20230923-181241_1.jpg
 
Back
Top Bottom