Kenya imeanza kutazama mbali zaidi, baada ya kuona huenda ikakaribiwa kiuchumi na kupitwa.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
19,023
21,567
Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks!
Katika kushindana na nchi ambayo kila wakati ipo macho!
 
Attachments

  • GOTWyYqXAAAa0iY.jpeg
    GOTWyYqXAAAa0iY.jpeg
    500.4 KB · Views: 3
Sisi atushindani na Kenya, ila Kenya inashindana na Tanzania, kiufupi washapitwa na Tanzania kwa kila kitu. Na hadi 2026 Watakua wamepotea mbali huko, Tanzania ni silence sleeping giant, kimya kimya inasonga.
 
kwa serikali hii ya ccm na viongozi wa hovyo wezi wa chaguzi na maimba nyimba za kumsifu maza?

be serious wewe

relax,tuzoee kua wa mwisho kiroho safi
hatuwezi kukaa tu na kutulia Mkuu.
tunataka kuwa wa kwanza pia hata kwa ukanda huu wa mashariki mwa Afrika.
bahati nzuri miundombinu na raslimali, za kutufanikisha zote zipo, tunachokosa ni kiongozi mwenye katiba ya Paul C.Makonda basi.
 
Makonda?

CCM?

Katiba ya Zamani?

Burkinabe?Maana yake unampenda mshenzi aliechukua nchi kijeshi huko Burkina Faso?Military rule?

Unapenda vyote hivyo!

Halafu huko hapa unataka Maendeleo kama ya Kenya with all those nonsense above?

Are u insane?
 
hatuwezi kukaa tu na kutulia Mkuu.
tunataka kuwa wa kwanza pia hata kwa ukanda huu wa mashariki mwa Afrika.
bahati nzuri miundombinu na raslimali, za kutufanikisha zote zipo, tunachokosa ni kiongozi mwenye katiba ya Paul C.Makonda basi.
NA ndiyo nia ya kila mwanaume awe mstari wa mbele, ukiona hupiganii hilo utambue una shida kwenye ubongo wako, life is fast moving races!
 
Sisi atushindani na Kenya, ila Kenya inashindana na Tanzania, kiufupi washapitwa na Tanzania kwa kila kitu. Na hadi 2026 Watakua wamepotea mbali huko, Tanzania ni silence sleeping giant, kimya kimya inasonga.
Ukitoa maswala ya kijiographia kama ukubwa wa eneo na population ni sehemu gani nyingine tumewapita kenya?
 
Tumeshawapasua hapa tunazidi kusongesha
 
Attachments

  • IMG_20240526_155526_729.jpg
    IMG_20240526_155526_729.jpg
    137.3 KB · Views: 5
Kwa viongozi gani hao? Umeipita Kenya sehemu gani? Labda kwa kuiba mali za wananchi na uchawa. Nchi inaongozwa inmradi tu
Sisi atushindani na Kenya, ila Kenya inashindana na Tanzania, kiufupi washapitwa na Tanzania kwa kila kitu. Na hadi 2026 Watakua wamepotea mbali huko, Tanzania ni silence sleeping giant, kimya kimya inasonga.
 
Ukitoa maswala ya kijiographia kama ukubwa wa eneo na population ni sehemu gani nyingine tumewapita kenya?
Kulingana na Report za Wakubwa(World Bank), 30% ya Investors kwenye sector ya viwanda wameondoka Kenya na kuja Tanzania. Pili Tanzania 2023/2024 imepokea investors wengi wakubwa na wadogo kuliko Taifa lolote lile Africa, Tatu Bandari ya Dar imeipita kwa mbali bandari ya Mombasa, na inashindana na Bandari ya Djibouti katika Africa. Nne Utalii Tanzania inapokea watalii wengi mara mbili ya Kenya (2 milion kwa mwaka) Kenya ni laki 9). Tano Tanzania inakusanya Mapato mengi kulingana na vyanzo vingi (Madini, utalii, Uchukuzi, Biashara za ndani e.t.c), Kenya inakusanya kodi kwenye sector chache, hawana madini, Uchukuzi wanapeleka nchi moja tu ya Uganda. Sita, kulingana na blog ya Kenya Tanzania ni bora mara Tatu kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja kuliko Kenya(ingawa wote masikini), Saba, Tanzania inauza zaidi bidhaa Kenya hasa za kilimo na madini(makaa ya mawe) kuliko Kenya inavyouza panadol huku Tanzania. Nane Wakenya kwa sasa wapo kibao hapa Tanzania wanatafuta vibarua viwandani, maana yake Kenya imedhidiwa. Tisa, Tanzania ina miradi ya kimkakati ambayo imeipita Kenya kuanzia Bomba la Mafuta, umeme, SGR to Burundi and Congo, barabara za BRT, Meli za kisasa ziwa Victoria na Baharini, REA Tanzania 85% Kenya bado 60%. kiufupi kila kitu Kenya wameanguka ata mafuta kuna wakati wanaomba Tanzania, kilichobaki Kenya kwa sasa ni GDP ambayo Tanzania watai overran mwaka mmoja tu ujao. Tanzania ni hatari kwa Africa kwa sasa.
 
Thank you, well explained.
 
Kidemokrasia Tanzania ikiweza kufanya uchaguzi wa huru na Haki na kupitia upya katiba itakuwa imeipiku Kenya kwa mbali both kiuchumi,kiustawi na siasa.
 
Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks!
Katika kushindana na nchi ambayo kila wakati ipo macho!

Bila kumfukuza kazi huyo mama mwaka 2025 kamwe Tanzania haitaweza hata kuikaribia Kenya kiuchumi.

Hivi kwa mfano nani anajua kuwa makaa ya mawe yanayosombwa na kupelekwa Kenya yapo kiasi Gani .
Tangu mama ameingia masarakani na kwenda Kenya kuweka mikataba ya Kuwauzia Maka ya mawe huku yakisombwa na kampuni ya usafirishaji inayosadikiwa kuwa ana mkono wake mrefu ndani yake mi mamilioni ya Tani yamesombwa kwenda Kenya.

Hata kama yanyuzwa Shilingi Moja kwa Tani basi mpaka leo hii tungekua tumeliingizia Taifa mamilioni ya pesa za kigeni lakini kwa watala wa Tanzania wamekimbilia Fursa za tenda ya kusafirisha Mzigo badala ya faida ya mzigo wenyewe kwa Taifa.

Ikiwa na maana watawala Hawa kuanzia wakati ule wa kubinafsisha viwanda vya sukari walikua wanashika Tenda za kusafirisha Mizigo husika na kununua maelfu ya malori huku wakiwalazimisha wawekezaji watumie magari yao katika usafirishaji kwa gharama kubwa . Matokeo yake ni Nchi kukosa mapato makubwa kutokana na mikataba kuwa yenye malengo Binafsi.

Kwa katiba ya Sasa bila kuwa na Rais mzalendo ni wazi kuwa Tanganyika haiwezi kupiga hatua mana hakuna Mweyewe zaudi ya kuiba kwa kushirikiana na wageni .

Na humo wageni wamejipanga vya kutosha .

Jipsam ya zinasombwa kwenda Rwanda na hakuna anayejua zinakwenda kiasi Gani zaidi ya watu wanaomiliki migodi hiyo kukwepa ushuru na uwasaidia wageni kutorosha mzigo kwa bei ndogo.

Haya ndiyo Magufuli aliyakataa .
Huwezi kuruhusu madini kusombwa kwa malori kama mashindano na kupelekwa nchi za nje kupitia Kenya bila kujua kwa hakika ni kiasi Gani yanasombwa kwa siku.

Mfano Kuna malori zaidi ya 800 yansomba Makaa ya mawe kila siku na Kila Lori Moja linabeba tani 20 . Kwa mwaka litakua limebeba Tani zaidi ya Tani 5,760,000 kwa miaka miwili ni tani 11,520,000.

Sasa kama hakuna anayejua Tani Moja taifa linapata shilingi ngapi ni wazi kuwa muda sio mrefu tutabakiwa mashimo kule mchuchuma na Liganga .

Wakati Tanganyika itakapobakiwa na mashimo kule Liganga na Mchuchuma watawala watakua mabilionea kwa sababu ya mradi huo huo utakaowaachia vizazi vya wengi mashimo na umaskini na kulipa mikopo ya nchi kwa wazungu huku familia za waliolitia taifa hasara zikiwa zinakula Bata Dubai na kwingineko kwa fedha zilizotokana na mikataba mibovu ya wazazi wao.

Hivi kama kweli Kuna uhitaji mkubwa kiasi hicho Cha madini ya makaa ya mawe huko nje hasa Kenya si ingekua ni fursa kubwa kwa taifa kupata fedha nyingi za kigeni ? Cha ajabu watu wamelenga kunufaika na usafrishaji tuu.
Wageni wanashirikiana kuliangamiza Taifa la watanganyika kama walivyozoea.

Karne ya kumi na nane Wazanzibari wakiwauza Watanganyika kwa maelfu huko ulaya na uarabuni kwenda kuwa Watumwa .

Karne ya kumi na tisa Wazanzibari wakauza Eneo lote la Tanganyika kwa Wajerumani kupotia kwa Chifu Mangungo aliyekua ni swahiba wa Wazaanzibar na wakati huo ukanda wa Pwani umikua chini ya himaya ya Sultani wa Zanzibar.

Karne ya Ishirini Watanganyika chini ya Mwalimu Nyerere wakapigania Uhuru wao na kuikombia nchi yao.

Karne ya Ishirini na moja Wazanzibar wanauza Tena ardhi na rasilimali zote za watanganyika kwa kushirikiana na CCM inayoongozwa na wao wenyewe na watanganyika wenye asili ya Somalia kwa maslahi yao . Huku wakitumia machawa na vyokbo vya Dola kuwanyamazisha watu na kiwazomea na kuwapiga vita Kali watanganyika wazalendo kwa fedha nyingi za Rushwa na kunyamazisha vyombo vya habari.

Tusitegemee kuipita Wala kuifikia Kenya kiuchumi kwa kutegemea viongizi wa Kuazima.
 
Ni kweli Makaa ya Mawe yanaondoka kwa wingi kwenda Kenya, yapaswa serekali itoe tamko na mamlaka husika je taifa letu limejipatia kiasi gani? Na
Je tunanufaika kama taifa au mwanahasara na kuja kubaki na mahandaki?

MAMLAKA HUSIKA ZIOMDOE MADUKUDUKU YA WANANCHI YA AINA HII MAANA HATA WABUNGE WETU, WAMESHINDWA KUULIZA MASWALI YA AINA HII.
 
Back
Top Bottom