Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,685
- 3,429
- Thread starter
- #21
Amebakisha sasa kibera tu alafu kichaa imshike aanze kuonesha utanzania yake yote hapa.
Amebakisha sasa kibera tu alafu kichaa imshike aanze kuonesha utanzania yake yote hapa.
huyu achana na yeye..nashindwa waga ni mtz aina gani..nishajua penye akili yake iko...huyu usibishane na yeye..juu ukibishana na yeye watu watakuona mjingaAmebakisha sasa kibera tu alafu kichaa imshike aanze kuonesha utanzania yake yote hapa.
Tumetuma satellite mbili, na tukaungana na Itay kurusha rocket kutoka malindi launch station na mpaka sahi UON (University of Nairobi) na european space agency wanatumia hiyo launch station ya malindi kufanya utafiti. Jaribu kingine.Mnajituma for nothing, tangu 1962 mmerusha rocket ipi angani???-- that is wastage of resources and time for funny!!. Halafu mmnakuja hapa kutamba kwamba mnajituma??!🤣🤣
2020-1962= Wastage Years for nothing in the space.
Alafu pia kuongeza chumvi kwa kidonda, UON iko na tracking station ndani ya indian ocean inayo fata vile satellites zinasonga in space na inaweza fata pia missiles.Mnajituma for nothing, tangu 1962 mmerusha rocket ipi angani???-- that is wastage of resources and time for funny!!. Halafu mmnakuja hapa kutamba kwamba mnajituma??!🤣🤣
2020-1962= Wastage Years for nothing in the space.
Unajua kizungu kweli "mental health issues" haimaanishi kichaa. Depression ndiyo iliripotiwa kwa wingi hiyo ni tofauti na kuwa kichaa.Kweli lNyani haoni kundule, unatoa kibanzi jichoni kwa mwenzako wasahau boriti jichoni kwako. Very hilarious.
View attachment 1583800
Mental health issues ni ukichaa. Acha kupiga makelele.Unajua kizungu kweli "mental health issues" haimaanishi kichaa. Depression ndiyo iliripotiwa kwa wingi hiyo ni tofauti na kuwa kichaa.
tukaungana na Itay kurusha rocket
walimu wenyewe hamna mashuleni, hiyo akili mnatoa wapi?Mnajituma for nothing, tangu 1962 mmerusha rocket ipi angani???-- that is wastage of resources and time for funny!!. Halafu mmnakuja hapa kutamba kwamba mnajituma??!🤣🤣
2020-1962= Wastage Years for nothing in the space.
Unajua kizungu kweli "mental health issues" haimaanishi kichaa. Depression ndiyo iliripotiwa kwa wingi hiyo ni tofauti na kuwa kichaa.
Kwann msifanye huo utafiti wenyewe mpaka mshirikishe wazungu. Na kama mba elimu bora kwann msiitumie kuiendeleza africa mnatumia kuiendeleza china na ulaya. Mnafurahi maboss wenu wazungu wakiwasifia sifia bila hata kureason kwann wanawasifia na kutaka nguvu kazi yenu ku implement program zao tena ndani ya bara lenuHAHAHA, Naona sasa umeanza kuingia wasi wasi. Usijali tunajenga University mpya Inaitwa Kaist (Konza institute of advanced science) ambayo inajengwa na south Korea iwe kama Kaist huko south korea.
Yani bado tutawakalia kimasomo kwa mda mrefu.
Wakenya ni watu wa kujituma ndiyo sababu wamejumuishwa na watu werevu, nyinyi ni wavivu na miaka mingi ya kula mihogo na maharage pekee imewafanya akili zenyu hazikuwi vizuri.
Tulianza kufanya utafiti ya space kuanzia 1962 nyinyi mpaka sahi bado mnafikiria mahindi na maharage tu!!.
Depression ni rahisi kutibu, kichaa wengi huwa hawaponi.Wewe unayejua kizungu haya tuambie kichaa na Depression (msongo wa mawazo) siyo mental problems hizo??--- depression may lead to a serious mental illness, ndiyo maana Nairobi na kisumu, kakamega wehu wamezidi siku hizi.
Mwafrika mwenzako akikutambua unamuona mjinga. Ila mzungu ndo mnamuona reference ya kila kitu. Mnataka hadi mkivaa nguo zenu mnasubiri awaambie mmependeza au hamjapendezaMaumivu ya kujua hakuna mtu anawatambua kimasomo. Pona hivi karibuni, na ikizidi kamuone daktari.
Tangu lini mchina akawa mzungu unaona akili zenyu vile hazifanyi kazi vizuri?Mwafrika mwenzako akikutambua unamuona mjinga. Ila mzungu ndo mnamuona reference ya kila kitu. Mnataka hadi mkivaa nguo zenu mnasubiri awaambie mmependeza au hamjapendeza
Wacha mbio jipeni mda mkuze elimu yenyu kwa sahi hakuna mtu anatambua masomo ya Tanzania. Dunia inajua bado mko chini sana kielimu hata Uganda inawashinda kwa elimu.
Masomo yenyu ni sarakasi za tom and jerry.
Two Ugandans named among Africa’s best scientists
Fungua hiyo link uone kama kuna mtanzania hata mmoja. Uganda wako na wawili, Kenya iko na watat,u Tanzania hakuna hata mmoja. Masomo yenyu ya university ndiyo kama high school hapa Kenya.
Ulitaka tukuje tanzania? Mchina ameendelea kiteknolojia, mzungu pia ndiyo kwa sababu tunaenda kusoma kwao. Nyinyi mnaopenda masomo ya gumbaru mtatusaidia nini?Kwann msifanye huo utafiti wenyewe mpaka mshirikishe wazungu. Na kama mba elimu bora kwann msiitumie kuiendeleza africa mnatumia kuiendeleza china na ulaya. Mnafurahi maboss wenu wazungu wakiwasifia sifia bila hata kureason kwann wanawasifia na kutaka nguvu kazi yenu ku implement program zao tena ndani ya bara lenu
Kama ni bora mbona hata Afrika haitambuliki? Kama ni bora mbona dunia haitaki kujishughulisha na watu wa Tanzania kwa vitu vinavyo hitaji akili timamu?Elimu ya tanzania ni bora. Sema wewe hupendi vile ikifundishwa kwa lugha ya kuafrika. Unataka ifundishwe kwa lugha ya kiingereza. English lugha tu sio utàalamu. Mafundi wangapi hawajui kimgereza lakini ndo basic blocks katika kujenga nyumba na kufanya installation za umeme. Ma engineer wanaojua kingereza wanabaki wanawatumatuma tu. Lakini kiuhalisia kazi inafanywa na ma artisan na matechnician
Mwafrika ndo binadamu pekee alietofauti na binadamu wote dunuani. Wote waliobaki ni wazungu kasoro mwafrika. Ndo maana hata mikutano ya G8 superpowers huwezi kukuta nchi ya africa. Inamaana wazungu ndo wanaitana kudiscuss kucontrol dunia. Na je wajua G8 zipo nchi zipi. Hapo mdo utajua wazungu ni wapi na waafrika(black) ni wapiTangu lini mchina akawa mzungu unaona akili zenyu vile hazifanyi kazi vizuri?