Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,685
- 3,429
- Thread starter
- #61
Acha niweke tu ya mwisho nisikuumize roho sanaShida gani ya africa ilitatuliwa na hao wanasayansi
IBM walifungua research centre yao hapa hapa Nairobi
Kwa hivyo kwa kila technology ya microsoft ,IBM, google kuna computer scientists wakenya wamefanya kazi kubwa sana.