Kenny Rogers hatunaye tena.

Kenny Rogers hatunaye tena.



Tutayasherehekea maisha yako, mwanadamu ni lazima afe! Imepangwa hivyo japo hatupendi kukisikia kifo, Pumzika kwa AMANI Kenny!

Vibao vyako vingi sana navipenda lakini vibao vya Ruby na Love or something like that nitavitwanga tena na tena na tena! Havinichoshi!
 
RIP Kenny

Luv your Music and Country Music in general

Last time seen you was 2010 Live Concert
You were not doing great (Health) but your Music that nite was Great!

We will Miss You!
 
Rest In Peace Kenny.

There is no choice but rather to accept the new endeavour.

We lovers of best Country music will miss you, will miss Don Williams, miss Jimmy Reeves and other Legends.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nashangaa mbona nyimbo zake zimepigwa sana kwenye tv kumbe kafa

RIP KENNY ROGERS
The gambler
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom