Kenge.

Hahaha...kumbe ulikuwa unabeep! Mtoto huyo sasa, acha kigugumizi!! kama umeshindwa kujiachia tuambie sisi wataalam!!

Rejao kausha sasa kwanza ..hapa nina sniper sitaki kukosa ndio maan naeenda mdogo mdogo with accuracy
 
Jitahidi kulenga..panga hoja zako vizuri. Kama huyu anaonekana mjanja!! Lakini ukizubaa tunakusaidia!!
 
rejao sasa unataka kutoboa ngoma ..wewe piga chabo chukua maujuzi sio kuingilia maongezi una disturb equilbrum
 
kenge...anapenda sana kuishi bwawani

.
Jitahidi kulenga..panga hoja zako vizuri. Kama huyu anaonekana mjanja!! Lakini ukizubaa tunakusaidia!!

Saint Ivuga namuaminia jembe hilo hawezi kushindwa..au vipi kamanda wangu...!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…