Kenge.

Mbona watoto wa kiume wanaongea kwa mafumbo za kanga na taarab?
 
kuna vitu huanzia wakati mwingine na mazingira yaliyopo.... he is in luv with you, kenge! :thinking:
 
kuna vitu huanzia wakati mwingine na mazingira yaliyopo.... he is in luv with you, kenge! :thinking:
Haya sasa, si ndio yale nilikua nasema? sisi tunachangia kenge mnyama kumbe kuna mtu amesha pangwa hili jina... ngoja niondoke zangu!
 
Haya sasa, si ndio yale nilikua nasema? sisi tunachangia kenge mnyama kumbe kuna mtu amesha pangwa hili jina... ngoja niondoke zangu!

unaenda wapi tena bibie?njoo nina maongezi na wewe hapa
 
natabiri huu uzi utafungwa mda si mrefu bila sababu yoyote..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…