Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
unataka kujua ujinga wa kenge?? we mlaze chali:rant: atalalama hadi nyoka watasikia:rant::rant::rant::rant::rant:Hata mimi namzimia sana!!!
hata akiwa hana mkia bado namzimia sana.....
Isipokuwa ni mjinga kweli.....hata hivyo nauzimia ujinga wake...
Unataka kujua ujinga mwingine wa kenge??.........Chemsha yai umpe.....Atafanya juhudi za kulimeza alafu ataona habari yake...KENGE bana.!!unataka kujua ujinga wa kenge?? we mlaze chali:rant: atalalama hadi nyoka watasikia:rant::rant::rant::rant::rant:
Hata mimi namzimia sana!!!
hata akiwa hana mkia bado namzimia sana.....
Isipokuwa ni mjinga kweli.....hata hivyo nauzimia ujinga wake...
Hata mimi namzimia sana!!!
hata akiwa hana mkia bado namzimia sana.....
Isipokuwa ni mjinga kweli.....hata hivyo nauzimia ujinga wake...
Kwahiyo, tuongeze maneno 'kwa asili......KENGE ni mjinga''Kwani kenge ni mjinga ama ndo tabia zake za asili
Unataka kujua ujinga mwingine wa kenge??.........Chemsha yai umpe.....Atafanya juhudi za kulimeza alafu ataona habari yake...KENGE bana.!!
kwani kenge wamefundishwa Sipiyuuu na sikirini inakuwa ya kibuluu!!!???humu jamvini jf kuna kenge au?
humu jamvini jf kuna kenge au?
Huyu mnyama nampenda sana
Kamata hii zawadi kwa jibu lako la ki-great thinker!!kwani tunapomzungumzia balali au tuzungumzia mashamba yanakua yameshalog in huku??
Wairak wanasema Ukikuta kenge amesimama mlangoni, hama hiyo nyumba, kenge ni kimeo
Kamata hii zawadi kwa jibu lako la ki-great thinker!!
Unajua hata kenge ni mzuri sana.....hebu mcheki hapo juu, halafu ana aibu......issue ni moja tu....ni mjinga kichizi!!!Duh, mie nampenda Bazazi
Mnyama mzuri sana
Take it easy!