we ulizani ni binadamu tu ndio wanapigana kwa ajili ya wapenzi wao! sasa kwa taarifa yako vita ya madume ya wanyama ni kubwa kuliko ile ya binadamu
we ulizani ni binadamu tu ndio wanapigana kwa ajili ya wapenzi wao! sasa kwa taarifa yako vita ya madume ya wanyama ni kubwa kuliko ile ya binadamu
Duh safi sana na leo nimeona paka wanafanya mapenzi nimefurahi sana
Nyoosha mkono juu say yeeeeee!!Say kenge .. kengeeeee .say mamba ..... mambaaaa
sawa kiongozi hii kitu we umeifahamu vip kuna mahali unaweza kutusaidia pameandikwa labda tukajisomea japo tuone?Kuna suala hapa naona wengine hawajui ila suala liko hivi ktk yale mayai yanayotagwa na mambo wakati wa kuyaengua wale WATOTO wa mamba watakaoingia ktk maji ndio na wale watakaoelekea nchi kavu huitwa kenge
Wanajamiii naomba mtuondolee ubishi.Kenge hutaga mayai au kenge huanguliwa kutoka katika mayai ya mamba?
yupi kenge yupi mamba?
asanteni sana wadau.sasa naendelea kuamini nilichokua nakiamini,kuwa kenge kama reptilia wengine anataga mayai na kuangua.ilibidi nilete jamvini maana humu tunaelimu tofauti majibu yatapatikana.niliekua nikibishana nae ni mwalimu wa sekondari.tena sekondari yenye nafasi ya juu kati ya shule zilizofaulisha kiwango cha juu kitaifa.
alichokisema yeye ni. baada ya mayai ya mamba kuanguliwa .anapowapeleka kwenye maji hao watoto .wengine wanashindwa kuishi kwenye maji ndio wanakua kenge.na hayo maneno yamekuja kama mfano akitetea hoja yake ya kuwa binadamu alitokana na sokwe.yaani kuna viumbe vina toa uzao ambao unakua spishi mbili tofauti.
kwamba alikuwepo golira flani hv ambae alizaa watoto wa aina mbili.moja inajitambua sana kuliko nyingine. na ndio ikawa binadamu na ile nyingine ikaendelea kua sokwee..
yeah kiongozi nimekupatamamba ni tofauti na kenge japokuwa wote ni familia moja ya reptile pia wote wanapatikana kwenye kundi la aphibia,-aphibia ni wanyama wenye uwezo wa kuishi kwenye maji na aridhini pia, na reptile ni wanyama wenye damu baridi na ngozi zao huwa na magamba yasiyopitisha maji, kenge na mamba ni wanyama wanaotaga mayai lkn hawatamii, mayai yao hujiengua kutokana joto la aridhi kipindi cha kiangazi,
tofauti ya kenge na mamba ni kubwa sana kwanza mamba mara nyingi hupatikana kwenye maji mito au maziwa ya maji baridi huyu kenge ye hujichanganya kote kote unaweza kumkuta kwenye miti, aridhini kwenye vichuguu au kwenye maji mara nyingi kenge hutoa ulimi wake nje na ndio maana hupenda kula mayai ya mwezake lkn mamba yeye hana ulimi na ndio maana yeye hula nyama ya vipande vipande kwa kumeza moja kwa moja, kwa hiyo wana lifestyle inayofanana lkn kenge ni kenge na mamba ni mamba tena ni naadui wakubwa sana hawa
kiongozi tufafanulie tafadhali ni kivipKenge huanguliwa na mamba nchi kavu na baade huwapeleka watoto ndani ya maji anae toka nje huyo huwa na kenge
Kuna suala hapa naona wengine hawajui ila suala liko hivi ktk yale mayai yanayotagwa na mambo wakati wa kuyaengua wale WATOTO wa mamba watakaoingia ktk maji ndio na wale watakaoelekea nchi kavu huitwa kenge
Wanajamiii naomba mtuondolee ubishi.Kenge hutaga mayai au kenge huanguliwa kutoka katika mayai ya mamba?