miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
usipende sana kuangalia paka wakifanya mapenzi ci vizuri kiimani zetu za kiafrica, mi niliwai kuambiwa ukiona paka akifanya mapenzi ni lazima utapata msiba wa mtu wako wa karibu na kweli ilinitokea, vilevile paka ni kati ya wanyama wanaofanya mapenzi kwa style kama ya binadamu yaani jike hulala chali na dume kuja juu kama vile binadamu
Amna wee paka walikuwa wanafanya dog style basi walibadili pozi .. mi siamini hayo makitu