Kenge hutokana na mamba?

Kenge hutokana na mamba?

Ubishi wa kwenye vibanda vya kahawa na kashata umehamia JF.....ina maana kweli mtoa mada umeshindwa hata kuzama mitandaoni kupata hizi taarifa....tena kuna mpaka Kiswahili........
 
hahahahahahhahaahaaaaa sasa sijui na huyu paka.jpg
yuko mfumo huo
 
Hivi mamba akigegedwa na kenge ananasa mimba?

Au ni sawa na kucheza soka kwenye uwanja usio na magoli.(kutoa umatemate tu)

Maana kondoo akigegedwa na mbuzi huwa holaa.
 
upo sawa kabisa kiongozi,ila anaanza mjusi,kenge kisha mamba.Yaani kama ilivyo kwa paka kisha chui,au dagaa kisha samaki
 
Kenge hatokan na mamba hata cku moja kenge naye anataga mayai na anaatamia wiki 8 wakati mamba cku 90
 
Hivi mamba akigegedwa na kenge ananasa mimba?

Au ni sawa na kucheza soka kwenye uwanja usio na magoli.(kutoa umatemate tu)

Maana kondoo akigegedwa na mbuzi huwa holaa.

hao wote hawazai mkuu bali wanataga xo badili swal!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom