DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,910
Umeisikia "War"freestyle?Yah alitembea Drake zamani alikuwa anakaza kumbe saivi soft hiphop
Umeisikia "War"freestyle?Yah alitembea Drake zamani alikuwa anakaza kumbe saivi soft hiphop
Ya?Umeisikia "War"freestyle?
Nayo ni soft hiphop ?
Saivi hizi God Plan soft broNayo ni soft hiphop ?
mwenye kiti wa UVCCM....pale LUMUMBA
Hommie usiongee kuhusu hiyo ngoma mzee wangu weka mbali na watt maana kiitikio tu ni laana babu 🔥Kwenye
fuckin problem ulimsikia ?
Drizz na offset hawana tofauti tu.Yah alitembea Drake zamani alikuwa anakaza kumbe saivi soft hiphop
Nonstop umeisikia ?Saivi hizi God Plan soft bro
HujaisikiaHatakuja kuimba wimbo mzuri kama All the stars..
Ana flow flani tamu sana huyu broh
Sure
Hhaah laana kivip mkuu ?Hommie usiongee kuhusu hiyo ngoma mzee wangu weka mbali na watt maana kiitikio tu ni laana babu![]()
Drake ana hype na vibe kuliko KendrickKumfananisha Kendrick Lamar na Drake ni kumkosea heshima Kendrick kabisa thamani ya kumuweka Kendrick kwenye ngoma ipo juu kushinda ya Drake lazima muelewe hilo kwanza na ndio maana haonekani kwenye collaboration nyingi kama Drake.
😂😂😂 huwezi sikiliza hiyo song ukiwa na mtu wa heshima amabye anajua vzr ngeli maana haifai.Hhaah laana kivip mkuu ?
Hilo sikatai tatizo la Drake nyimbo zake haziishi muda mrefu yaan rahisi sana kusaulika kushinda Kendrick.Drake ana hype na vibe kuliko Kendrick
So Kendrick ni zaidi ya Drake?Kumfananisha Kendrick Lamar na Drake ni kumkosea heshima Kendrick kabisa thamani ya kumuweka Kendrick kwenye ngoma ipo juu kushinda ya Drake lazima muelewe hilo kwanza na ndio maana haonekani kwenye collaboration nyingi kama Drake.
Hahahhahahuwezi sikiliza hiyo song ukiwa na mtu wa heshima amabye anajua vzr ngeli maana haifai.




Nyimbo za Drake ni kama za Diamond. They are short livedHilo sikatai tatizo la Drake nyimbo zake haziishi muda mrefu yaan rahisi sana kusaulika kushinda Kendrick.
OhooNyimbo za Drake ni kama za Diamond. They are short lived