Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
😂😂😂 hilo ndio jibu dude we unazani huyo Drake anaweza pita kwenye njia za Kendrick?So Kendrick ni zaidi ya Drake?
😂😂😂 hilo ndio jibu dude we unazani huyo Drake anaweza pita kwenye njia za Kendrick?So Kendrick ni zaidi ya Drake?
Hiyo song nilikuwa nikienda skull lazima nisikilize that time nina iPod yangu hapo nilikuwa naimba kalibia yote. 😊😊Hahahhaha
lazima atakupeleka crib au sio ?![]()
ukweli mm huyo jamaa hata simfagiliagi kabisa nyimbo zake huwa naishia sikiliza na kuangalia kwa TV tu.Nyimbo za Drake ni kama za Diamond. They are short lived
Ila niggas ni wahuni si mchezoHiyo song nilikuwa nikienda skull lazima nisikilize that time nina iPod yangu hapo nilikuwa naimba kalibia yote.![]()
Kendrick anaweza pita kwenye njia za Drake?😂😂😂 hilo ndio jibu dude we unazani huyo Drake anaweza pita kwenye njia za Kendrick?
😂😂😂 mm ndio watu nawapenda sana hao hao wahuni TI, The Game, Meek, Eminem, Cole, Lamar, Asap nk..Ila niggas ni wahuni si mchezo
Zipo chache nzuriukweli mm huyo jamaa hata simfagiliagi kabisa nyimbo zake huwa naishia sikiliza na kuangalia kwa TV tu.
Anaweza maana flow ya Drake huwa akichana mm huwa na msikia Lil Wayne kabisa sasa Kendrick anashindwaje kupita humo 😂😂 Hawezi kushindwa kwa huyo anayeandikiwa.Kendrick anaweza pita kwenye njia za Drake?
Anayependa michano kumkubali Drake ingumu kidogo.Zipo chache nzuri
so inawezekana Drake is overrated ?Anayependa michano kumkubali Drake ingumu kidogo.
" I hate people that feel entitled"..jamaa kaua sana kwenye hiyo soundtrack ya black pantherHatakuja kuimba wimbo mzuri kama All the stars..
Ana flow flani tamu sana huyu broh
Hilo kweli mwaka jana niliona post iliopostiwa na World Star wasanii wanao lipwa pesa ndefu kwenye collaboration Kendrick alikuwa nafasi ya 3 bora huku Drake akiwa wa 6 wa mwisho walikuwa ni Migos katika hiyo list ya 10 bora.so inawezekana Drake is overrated ?
Ile verse ya control yule mbwa alijua kuitandika aisee...Hujaisikia
Bitch don't kill my vibe
Swimming pools
M.a.A.d city
we gon be alright
i
The blacker the berry
DNA
.
.
.
Verse ya Control
.
.
Hizo zote zinaizidi All the stars