Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,855
- 3,499
Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS
1: J Cole
2rake
3:Big Sean
4:A$ap rocky
5: Pusha T
1: J Cole
2rake
3:Big Sean
4:A$ap rocky
5: Pusha T