donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,123
- 21,872
Its without a doubt K. Dot a kid from Compton Cali is a hot rapper and hence has managed kurudisha ushindani katika hiphop game.
Da kid is lyrical, conscious na unaambiwa wakati yuko high school kendrick was a straight-A student.
Japo kauli yake ya kusema he is the king of new York ilileta controversy kubwa katika verse yake ya control kwenye ngoma aliyoshirikishwa yeye na black hippie mwenzake Jay electronica na blazamen big Sean.
Few hours after release ya control, twitter iliwaka moto, a lot of rappers kama pappoose, joel ortiz , big K.R.I.T walireact wakidai nani amemcrown kua king of new York..
Nevertheless, kendrick ni noma jamaa, hebu take time kumsikiliza verse yake hii kwenye control, then sikiliza rigamortis,hiii power na black lip bastard: