Kelele zote kwisha

Huyu jamaa alikuwa na mbofu mbofu gan tujuzen ambao hatujui af ni wachama gan???
 
Kwani jamaa yuko wapi huyu, mbona simsikii nowadays?
 
Kabaki mmoja yule Wa wazalendo ana mapovu ya hatari sasa Adi kwenye vipindi vya TV yupo
 
Ni kama Maalim Seifu, alipojumuishwa katika serikali ya umoja wa Kitaifa, akawa kimya ghafla, au LOWASSA alivyoamia CHADEMA, CHADEMA wamekua mabubu..
 
Hapo ndio unajua alikuwa anapiga kelele apate nn, ila simsikii hapa musoma au bado anajipanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…