Kelele za upinzani hazinisumbui-JK

Staili anayotumia JK kama mnaangalia vizuri ni Staili ya Mfa maji.

Mshishangae kuamuka asubuhi siku moja mkakuta ametimuka. Huyu jamaa stability yake ni ndogo sana, muda si mrefu ataanza kukimbia hata wapiga kura wake.

Huu ndio utakuwa mwanzo wa udictator.
 
Labda kada utueleze
1. Ni yapi ya kujivunia yamefanyika mpaka sasa hivi
2.Kwa nini tupo nyuma kimaendeleo kwa kadiri ya miaka 200 wakati tuna rasilimali zote muhimu
 
Heheheee! Nmeishia kucheka namna walivyokuwa wanachangia na wanavyochangia sasa
 
Moderator aliyeuweka huu Uzi anamaana sana umetupa tafakuli nzuri kuchambua sifa wanazompa jk sasa na jinsi walivyokuwa wanamponda.
 
Tatizo ni kwamba siyo tu wapinzani wanaquestion usanii wa huyu jamaa bali hata ndani ya CCM tayari kuna viongozi na wanachama wengi wanamuona ni bomu. Ni lazima abadilike ili kurudisha imani ya wananchi kwake au vinginevyo histori itamkumbuka kuwa ni kiongozi aliyeisambaratisha CCM.

Ni haki ya Slaa kuhoji dhidi ya upotevu wa $250 millioni pale BOT. Kamwe kuhoji huko hakuna nia yoyote ya kuleta machafuko. Wananchi na wapinzani kuhoji dhidi ya mikataba bomu ambayo haina maslahi kwa Watanzania kamwe hakuonyeshi nia ya kuleta machafuko au kumwaga damu.

Mtu anayetaka machafuko au kumwaga damu utamsikia anatafuta silaha za aina yoyote ile ili aingie msituni, na hili sijalisikia likitamkwa na wananchi wala wapinzani. Ndiyo tabia ya CCM hiyo badala ya kujibu tuhuma nzito dhidi ya viongozi wao, basi hutaka kupoteza lengo kwa kuanza kuleta vitisho vya machafuko na umwagaji wa damu.

Watanzania si wajinga wanaona vitendo vyake na kusikia kauli zake sidhani kuna chochote kinachowaridhisha kati ya wanayoyaona na wanayoyasikia.
Mkuuu habari asee
 
Kama tutajaaliwa uhai 2028 tutakuwa tunakumbushia thread za Dr. Magufuli tutakuwa tuna miss sana na style yake ya ubandidu Rais Sijui ndo atakuwa Mrisho Gambo au Paul Makonda
 
Huyu mzee alikua zaidi ya kiongozi asee kumbe huko nyuma ndio mambo yalikua hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom