tanzania ni nchi yenye uvumilivu na sio amani wala upendo,hii inachangiwa na asilimia kubwa ya watanzania wasio na elimu na kukosa taarifa/kutokuwa na taarifa hasa kutokana na mipangilio,njama za chama tawala. mpaka sasa ni kweli ccm kimechokwa na hata mimi ninaunga mkono kiachie ngazi lakini wakumpa madaraka hakuna bado. chadema hakiwezi kupata madaraka hasa kutokana na upuuzi na chama hicho kina ufa mkubwa ndani yake hasa wachaga. mambo yapo mlama tanzania hivi kweli kusoma hatujui hata kuangalia picha tu=jamhuri ya muungano wa tanzania. zanzibar wanaeraisi wao lakini hana power yeyote. raisi alichaguliwa tanganyika ndiye anayetambulika kuwa raisi wa tanzania. kinachoidhoofidha zanzibar ni upeo,hawajui nini wanataka,ukoloni na idini,maneno mengi kuliko matendo,uzembe na uvivu hadi akili zao nzito kufikiri,nguvu za kiuchumi hawana.