Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,062
- 1,042
yani ukistajabu ya Musa utayaona ya falao!waliodai katiba yamwaka77 haina makosa na hakuna haja ya ktba mpya ndio waliotunga katiba mpya!
And what do you re-call of that war?
Shida zetu kubwa tanganyika sio serikali tatu,mbili,moja au mia. Hiyo ni kwa wapemba huko. Sisi tuna mambo muhimu,hizo za ukawa ilikuwa ni njama za kumvuruga warioba na ccm. Nia ya ukawa ni kutoikubali hii katiba iliyopendekezwa na rasimu ya warioba ili walioanzisha vyama wasikabwe na maudhui ya katiba hiyo. Tuwape nafasi wananchi waamue. Msiiteke hii kivyama. Wananchi wasome vyote wapate kuamua. Walomvamvamia warioba ni maboi na watumwa wa wanasiasa. Mimi siupendi muungano kabisa na ufe. Hao wazanzibar kwao ni kama sudan ya kaskazini na kusini. Kuna upande una sapoti ya watu weupe na machotara na upande mwingine weusi ndio wengi ukimuona mweupe au chotara ujue ndio kama kina jamal na bryson wakati wa kusaka uhuru walimsapoti nyerere bila kujali ngozi walionayo