Keko: Umbea,na Temeke: Tunguri

keko imegawanyika.kuna keo akida.keko machungwa na keko magurumbasi kwa akina marebo.
kila sehemu ina sifa yake.
keko akida hakuna wizi wa simu wala kukaba.wenyewe wanaiba madumu na ndoo za ili wakaibie mafuta bandarini.
keko machungwa pale hata mchana unakabwa ukipita vichochoro.
keko magurumbasi ni watu wa kujituma kufanya kazi,kutengeneza vitanda,makochi,viti,makabati nk.na kule ni ngumi mkononi kila siku ugomvi.na mchezo waupendao ni ndondi(mchezo wa ngumi).wanawake wa keko wanashinda kinondoni.mia
 
Keko ni Little Mbeya(akina kyai kya rangi na matofali ya kupika) na Temeke ni Little Rufiji(Wandengereko)
 
Back
Top Bottom