Keki ya tani moja Bongo

Keki ya tani moja Bongo

kichefuchefu kitupu!!

Kwa aliepagawa kila kitu si kizuri kwake hata watu wakiwa wanafurahia mila zao kwa njia ya amani - punguza ujinga , jifunze yanayotokea duniani , jua na fahamu mila za wengine, ongeza upeo wa mawazo yako. Na usiandike kwenya uwanja JF kbla hujatafakari.
 
Hivi dhehebu lao linazuia watanzaia weusi, au watanzania weusi ndio hawajapenda kujiunga nao?
 
hii sio keki ya tan 1, ni keki zimeunganishwa na kubandikwa bandikwa zikaleta tan 1. hii mbona watu wanaweza sana hata wakurya wana ugali wa tani moja.
 
Nimefurahishwa kuwa wanajeshi lao maana wanajua kuwa ukialika wale mgambo wa Jk ni wizi mtupu
 
Back
Top Bottom