Mambo ya muhimukwa mtu anaeanza biashar ya keki ni nini anatakiwa kufanya, naomba msaada tutani
AI kama kitendea kazi. Je wewe unatumia vipi katika shughuri zako za kila siku.Chatgpt
asante sana barikiwaMambo ya muhimu
1. Tafiti Soko
Tambua wateja wako walengwa (wanafunzi, ofisi, harusi, matukio ya kijamii n.k.)
Chunguza ladha wanazopendelea na bei ambazo wako tayari kulipa.
Angalia washindani – wanafanya nini vizuri, na wapi kuna mapu ngufu.
Oyaaaa sasa lini ile dili nikupe?Ahahahhaa kuna jamaa huko juu anvyojibu fasta fasta unaweza sema hana akili kumbe mwenznu ana target yake hapo 😂😂😂😂😂
Lini jamaa akawa mtu wa mambo ya chakulaa 😂😂😂😂😂😂😂 we sbrlini tu
😂😂😂🙌🙌🙌 Mkuu skia bana mi staki kitu chako au foatage yoyote yako mku..Oyaaaa sasa lini ile dili nikupe?
Utaniwekea kwenye flash tu 🤣