Keep your nonsense to yourself

My lovely daughter just let it flow.. Am sure mlengwa hakuwa na lengo baya bali ku chitchat tuu.. Take it as a merit to you.. Ni jambo jema kuona mtu anavutiwa na kuvutika nawe kiasi cha kukuwekea post ya mahaba! Si kila mdada ana hiyo bahati😀
Lakini pia kubwa na la muhimu zaidi punguzeni kidogo kuandika sensational post zinazoamsha hisia Kali kwa jinsia pinzani😂
Seriously unaweza kudhani unaandika kitu cha kawaida kumbe kwa wengine unawagusa kumoyo na kuamsha mashetani yote ya mahaba
Sasa kwakuwa hawawezi kukupata wanaamua kujipoza kwa kukuandikia mada za chombeza.. Ni aina mojawapo ya kufikisha ujumbe pia🤪

Kwa mkwe wangu chai ya rangi pole sana.. Pengine hujui hili lakini naomba nikwambie kwamba lama mtu hamjazoeana sana inabidi kwanza kumuomba ruhusa PM ya kumuanzishia uzi na maudhui yake
Bado una nafasi nzuri ya kuyajenga naye huko pembeni na ukitaka usaidizi baba mkwe nipo😂
 
sawa baba mkwe umeongea kwa busara sana kama ilivyo kawaida yako,

actually tulikua na mpango wa kumtuma mshenga Chivundu kwako lakini binti amecharuka kwelikweli
 
My dear ShesRise_1 jf utalalamika weee na hakuna utaloambulia. Wewe hapo na simu yako ndio dawa tu kuliko kuumiza kichwa na asubuh tena j3. Mtu akikuudhi u just click ignore au block him/her totally. Kuna haja gani uudhike na mtu humjui na hakujui. Wabongo tushavurugwa kiasi kwamba usipompga mtu stop you will end up quarrelling daily. Chukua maji unywe afu shka simu anza ku ignore na kublock waliokuudhi na roho yako itapona.
 

Kweli mkuu, kijana aanzie PM huko, atafute namna nzuri ya adabu ajieleze.
 
Kutumika vibaya kwenye mada za kipumbavu siyo suala la kumlaumu mtu, inatokana na jinsi wewe mwenyewe ulivyojiweka huku.
 
❤️❤️❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…