Keep waiting , Barua ishaandaliwa

Samia, Kikwete, Rostam, kuna wa kuweza kuwashida hadi sasa?
 
Yaliomo ni hata 3.

Mosi la aicc
Pili VP kujiuzulu
La tatu ni la TAL

La nne kuelekea maridhiano ya Nani ni Nani
 
Mkuu britanicca
1. Nani ameandaa barua?
2. Barua inaenda kwa nani?
3. Inahusu nini Barua?
Hivi EL alijiuzulu kwa hiari au alijikuta hana ulinzi akalazimishwa kujiuzulu au?
Vipi Mzee wa Ayoub wa Galilaya aliandika yeye barua au ni Rostam?
Nabii Mystic alitabiri kikao kizito cha baadhi ya watu wazito kitakutana usiku wa maanane ili kufanya maamuzi mazito, na pia kutoa rai ya kuiombea sana nyota kutoka Brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…