Keep Calm Cause it's my Birthday

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,072
Reaction score
641
Ndugu zangu leo ni siku muhimu sana kwangu, Namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyonipa maana kama si yeye nisingeweza jambo lolote. katika miaka hii niliyoishi hapa duniani kuna mengi mazuri nimeyapitia pia kuna magumu nimeyapitia. Wana JF jambo la muhimu sana napenda kuwaambia siku hii ya leo usiangalie vikwazo unavyopitia leo vikawa ni sababu ya wewe kutofikia malengo yako. KARIBUNI SANA WANA FAMILIA TUSHEREKEE.
 

Attachments

  • _birthday_.jpg
    8.5 KB · Views: 154
Hongera sana.
Uishi maisha marefu sana yenye kumpendeza
Mungu aliyekuumba .
 
......Nakutakia maisha marefu ya amani na furaha mbota
 
Last edited by a moderator:
heri ya siku ya kuzaliwa
 
,$'''$ .,. $'''$,
$ KAD I YA $
'$ mwaliko $'
'$,, *🙂 ,,$'
"$,:,$"
Fämìlìä ya YUSUFU na MARIAM wa Betlehemu wanapenda kùkùalika kwenye birth day ya mtoto wao mpèndwa (YESU) Itakayofanyikà tar.25 Dec mahali ni kila moyo wa mkristo ùlìmwenguni kote.mkristo asiyekuwa na kadi hii anabahati mbaya kiingilio ni TOBA, USAFI WA MOYO, IMANI na MATENDO YAKO MEMA kwa kila amwaminie atakombolewa jitahidi sana kuandaa kiingilio,fika na kad hii ili upokelewe kufika kwako ni mafanikio ya sherehe yao na MUNGU AKUBARIKI na AKULINDE UFIKIE SIKU HIYO,AMINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…