TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,816
- 4,455
Hiyo Ilikuwa MuhimbiliIlikuwaje teena? Ndiyo ile ya kupasuliwa kichwa badala ya mguu.
Ndiyo nakumbuka miaka ile.Hiyo Ilikuwa Muhimbili
KCMC anataka kukimbia mambo kwa style ya kifala sanaWakati kesi ikisomwa ,upande wa mshitakiwa waliweka ombi kwamba kesi hiyo isijadiriwe katia lugha ya kiswahili bali kingereza,lakini jaji KIIMA alitupilia mbali ombi hilo.
hakuna tumsaide tu,kabla hawajaingia theatre,huwa wanakuwa na majibu ya vipimo vyote na linakaa jopo la madaktari kujadiri majibu hayo na kuteua nani na nani watasimamia zoezi hilo,unless otherwise ni dharura ndio huwa inafanywa bila kikao.Hapo consent form ni moja ya nyaraka itakayowasilishwa mahakamani.
Hapo naona kuna mazingira mawili.
1. Doctor waliingia kwenye operation wakiwa hawana wazo la kutoa kizazi.
Katikati ya operation wakagundua kizazi kimeshaharibika. Wakafanya ile Tumsaidie tuu huyu mama , tuondoke na kizazi .asisumbuke kurudi kwenye operation nyingine tena. Tutamuelezea baadae.
Au
2. Katika kufanya operation mambo yameharibika , ili mama atoke salama theatre inabidi watoe kizazi.
hakuna tumsaide tu,kabla hawajaingia theatre,huwa wanakuwa na majibu ya vipimo vyote na linakaa jopo la madaktari kujadiri majibu hayo na kuteua nani na nani watasimamia zoezi hilo,unless otherwise ni dharura ndio huwa inafanywa bila kikao.
Inawezekana katika kutolewa kizazi kumemsaidia kumaliza tatizo alilokuwa nalo. Changamoto inatokea kwa mgonjwa pale ambapo ametolewa kizazi na hana mtoto, hii inampelekea kuhisi labda hospitali haijamtendea haki, kumbe walikuwa wakipambana kuokoa uhai wake.
Na hii utokea pale mgonjwa anapokuwa na uvimbe kwenye uzazi, wakati mwingine umpelekea kuvuja damu mara kwa mara, na inawezekana katika uchunguzi ikaonekana tiba sahihi ni kutoa kizazi ili uvimbe usijirudie.
Ile kukubali au kutokukubali kwa mgonjwa kutolewa, inategemea na hali ya mgonjwa ilivyokuwa.
Kama kibatala yupo hiyo pesa watamlipa.Hospitali ya KCMC imeshitakiwa na mama moja ambaye anadaiwa kutolewa kizazi pasipo ridhaa yake halisi,mwanamke huyo anadai alifanyiwa upasuaji na kuondolewa kizazi kutokana na tatizo lililokuwa linamsumbua(halijawekwa wazi).
Kwa mujibu wa vyanzo vyangu mwanamke huyu anawakilishwa na wakili PETER KIBATALA,ambapo kesi hiyo inasikilizwa chini ya KIIMA.,na upande wa mshitakiwa ambaye ni KCMC bado hawajawekwa wazi.
Mwanamke huyo nadai hospitali ya KCMC kumlipa fidia ya TSH.800M.
Wakati kesi ikisomwa ,upande wa mshitakiwa waliweka ombi kwamba kesi hiyo isijadiriwe katia lugha ya kiswahili bali kingereza,lakini jaji KIIMA alitupilia mbali ombi hilo.
Ridhaa ni lazima, kama mgonjwa hajitambui, basi mume/wazazi/mlezi lazima waridhie.Inawezekana katika kutolewa kizazi kumemsaidia kumaliza tatizo alilokuwa nalo. Changamoto inatokea kwa mgonjwa pale ambapo ametolewa kizazi na hana mtoto, hii inampelekea kuhisi labda hospitali haijamtendea haki, kumbe walikuwa wakipambana kuokoa uhai wake.
Na hii utokea pale mgonjwa anapokuwa na uvimbe kwenye uzazi, wakati mwingine umpelekea kuvuja damu mara kwa mara, na inawezekana katika uchunguzi ikaonekana tiba sahihi ni kutoa kizazi ili uvimbe usijirudie.
Ile kukubali au kutokukubali kwa mgonjwa kutolewa, inategemea na hali ya mgonjwa ilivyokuwa.
Kuna ule utaratibu wa mgonjwa abaki na wauguzi na si ndugu, ikitokea dharura hapo inakuwaje?Ridhaa ni lazima, kama mgonjwa hajitambui, basi mume/wazazi/mlezi lazima waridhie.
Kubaki na wauguzi ni kwenye suala la kumuhudumia. Sio maamuzi ya kimatibabu.Kuna ule utaratibu wa mgonjwa abaki na wauguzi na si ndugu, ikitokea dharura hapo inakuwaje?
Huwa kuna Intraoperative diagnosis.! Inawezekana kilichokutwa baada ya upasuaji ndo imepelekea atolewe kizazi.hakuna tumsaide tu,kabla hawajaingia theatre,huwa wanakuwa na majibu ya vipimo vyote na linakaa jopo la madaktari kujadiri majibu hayo na kuteua nani na nani watasimamia zoezi hilo,unless otherwise ni dharura ndio huwa inafanywa bila kikao.