Kazi zingine

Kazi zingine

cc_africa

Senior Member
Joined
May 30, 2010
Posts
121
Reaction score
2
Kuna mzee moja alikuwa akifanya kazi ya ofisi flani ,sasa huwa muda mwingi wanaingia asubuhi saa11 na kutoka saa5 usiku. Siku moja akiwa nyumbani amekaa sebleni mtoto wake akaja,kwa kuwa hamjui baba yake ikabidi amwambie mama mama sebleni kuna mgeni kaja
 
hiyo ndo hatari ya kutokaa mda mrefu na familia. Nashut down
 
hii mambo ya kutoka usiku kurudi usiku ni noma sana saa nyingine utazaa watoto 3 lakini 2 ni wajirani....nasleep
 
Ni hatari sana iyo kwa mstakabali wa familia!
 
hiyo nomaaaaaaa! ndo maana huwa najitahidi lazima nitambe hadithi kwa 'timu' yangu yote kila siku saa tatu usiku, then kama nna mtoko ndo natoka nikwaacha roho zao kwaaaaaaaaaatu!
 
Duh, mgeni tena wakati ni faza karudi home?
 
Bora huyo kaitwa mgeni...jamaa mmoja alishawahi kupigiwa kelele za mwizi na mwanae wa kumzaa...
 
Back
Top Bottom