Kazi za wana JF when off the keyboard

Kazi za wana JF when off the keyboard

Embu kwenda zako huko....kazi gani ya kumalizia mtaji kuwakopesheni wachovu wa mtaa?!

ningekushauri uanze kujipendekeza kwangu haraka iwezekanavyo, nina mpango wa kununua share za microsoft. Nikimaliza hapo nitainunua mpaka JF, hawa invizibo na Paw nitawapa kazi ya kuedit posts zangu tu.
 
sasa mbona unaandikaga kisharo sharo?

mwalimu dzain bado aujajua ..swaga za kisharobaro kiuandishi znakuaje...swaga za kisela znakuaje..swaga za mtu mbea znakuaje..swaga za mchungaji/mama mchungaji zinakuaje....swaga za kujiboost znakuaje..swga za mwenye busara znakuaje...PLSSS CHEK FRESH..mwalimu saaa ingne ufundshwa na wanafunz wake pia...
 
ningekushauri uanze kujipendekeza kwangu haraka iwezekanavyo, nina mpango wa kununua share za microsoft. Nikimaliza hapo nitainunua mpaka JF, hawa invizibo na Paw nitawapa kazi ya kuedit posts zangu tu.
SIDANGANYIKI kwa herufi KUBWA!!
 
Hahhhahha....double G asante sana kwa kunichekesha maana ningelala sijacheka leo.
Owkey list inaendelea...
Double G yeye ni profesor mstaafu wa physics (japo hajui bado) and he is obssesed with time travel.Anaamini karibu ataunda kamashine kakumrudisha kwenye ujana wake.
AfroD ndo mama ntilie wa hapa maeneo ya ofisi.
Baba mchungaji (nawaambia hii kama siri...) ni mchungaji kwa mawazo yake ila alishafukuzwa zamani kwa ulevi uliokithiri.Siku hizi hata misa hua hahudhurii...alafu eti lawama zote kwangu!!!
uuuuwwiiii mbavu zangu,hahahaha eti AD mama ntilie,teh teh poor Rev.haha duh God bless ya!
 
Hehhe mtoa mada umekosea kidogo mie ni beki tatu
heee kwa hiyo mume yuko home we unalinda goli. Nampaje pole mama mwenye nyumba,lazima ile kwake huyo mme wake!teh teh teh
 
Alafu akiniwahi ile kwangu ehhh?!
We hunipendi kabisa!!

awez kukuwai ..na km akikuwai omba msamaha kwa KINGEREZA FASTA..atakusamehe atajua we mwenzake wa BBC....

YULE akikubana ukiongea CHILUGHA CHAKE CHA bbc wala hanaga neno...


na atakuwaije banaweeeee..ujanja wote uo...

ukmaliza futa asione
 
Rose I am watching you...soon I will prove the mens rea....

Ntahakikisha hufiki actus reus...lol! (kwa maslahi ya wananchi wa ikungu!
 
Back
Top Bottom