Kazi za wana JF when off the keyboard

Kazi za wana JF when off the keyboard

Voiceofreason--Lipumba
Kiranga--Mrema Lyatonga
Binti Maringo--Vick Kamata
Mzee Mwanakijiji-Charles Hilary
 
nimesoma thread yote sijaona mtu kamuongelea Malaria sugu!hivi huyu ni nan?jibu plzzzzz
 
Mimi ndiye mwajiri wa wote ndio maana hukunitaja bila shaka ungehatarisha kibarua chako cha kushika waleti yangu na kunitafutia mademu!!

Nakupongeza kwa hilo!!
 
nimesoma thread yote sijaona mtu kamuongelea Malaria sugu!hivi huyu ni nan?jibu plzzzzz
na ule mradi wako wa vitumbua na maandazi unaendeleaje?
Good Guy said:
nasikia alimwajiri kijana wa kazi Malaria mradi ukafa,badae Paw ndo akampigia mishe ya usekretari
hukusoma hapo bana!eti Sasa hana kaz alifukuzwaga na lizzy kwene mradi wa kukaanga vitumbua?
 
Mimi ndiye mwajiri wa wote ndio maana hukunitaja bila shaka ungehatarisha kibarua chako cha kushika waleti yangu na kunitafutia mademu!!
Nakupongeza kwa hilo!!
Bosi si umesema tusikusumbue ofisini unakikao?!
 
<b>Lizzy-secretary, Preta-anahudumia internet cafe, Shosti-Saluni Asprin-anajishughulisha na shughuli ndogo ndogo(baada ya kutimuliwa ofisini) mwanakijiji-anauza mbogamboga(mvua nayo hamna anatafta kazi nyingine) Husninyo-saluni , Ivuga-kinyozi ,M.Roza-mama wa nyumbani ,Saigoni-underground(hiphop) ,Tusker baridi-as if inahitaji ufafanuzi wa kazi yake. haha,just 4 laughs guys take it easy,the list goes on t's free to add...</b>
<br />
<br />
nazja baa medi, bujibuji konda
 
Kishongo anauza barakashia....

Muhadhiri ni mwalimu wa madrasa..
 
Back
Top Bottom