Kazi yangu imenifanya niwe 'Domo Zege'

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Yaan kazi yangu imenifanya nipate pisi kali kibao. Sijawahi kutongoza dem ile kisiriazi. Sijawahi kukosa/kunyimwa namba ya simu na demu. Musiniulize kwanini

Sasa hali hiyo imenifanya nimesahau kabisa kutongoza ile kawaida (yaani ile kutumiana vocha, picha, kusubiliana maeneo flan, kuambiana nakupenda /nakuhitaji n.k)

Mfano juzi kati flan nimekutana na pisi flani ambayo kiukweli anafaa kuwa wife ila nikashindwa kumpa mistari konki ta kiusiliazi. Sikutaka kutumia heshima ya kazi yangu, nilitaka ajue nampenda kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom