samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,262
wameumbwa kuzaa na kulea, wanaume wameumbwa kumwaga na kutafuta huku mama akiachwa nyumbani kulea na kufanya shughuli ndogondogo. Wanaume wapo duniani kwa kazi maalum na akina mama wapo kwa kazi maalum na kila mtu ana umuhimu wake.. Mwanamke amepewa majukumu ya kuzaa na kulea ili apate heshima tofauti na hapo angekuwa kiumbe dhaifu wa kuzalauliwa.
Tatizo mwanadamu ameacha kuishi kulingana na mfumo wa uumbaji ulivyo anataka kuishi kadili aonavyo inafaa hapo ndipo tatizo lilipo..Mwanamke anataka kuonyesha yeye ni kama mwanaume tu aka anaweza kila afanyalo mwanamme hapo shida inaanza..