Kazi ya kulea si mchezo, mbarikiwe wanawake

Kazi ya kulea si mchezo, mbarikiwe wanawake

Sema mtoto wangu atakuwa sio kilizi sana 🤣🤣🤣🤣🤣!!!

Chemistry sindo nambembeleza alale akishiba. Nashukuru sana ujio wa pampers, maana nilipokuwa chalii niliwazaga lile zoezi ya kufua nepi ni noma.
🤣🤣🤣🤣 Eti atakuwa siyo kilizi.
Watoto hawatabiriki ujue.

Mara moja moja umlishe na jokes za hapa na pale inaongeza kitu Kati ya baba na mtoto.

Wababa wavivu utawajua tu🤣🤣🤣🤣..muone.
 
🤣🤣🤣🤣 Eti atakuwa siyo kilizi.
Watoto hawatabiriki ujue.

Mara moja moja umlishe na jokes za hapa na pale inaongeza kitu Kati ya baba na mtoto.

Wababa wavivu utawajua tu🤣🤣🤣🤣..muone.
Hahahah mi sio baba mvivu ila napenda mtoto akicheka tu...Akiwa kauzu full time itakuwa ngumu kucheza nae 🤣🤣🤣
 
Drone Camera,

Kama kuna jambo tunapaswa tulifanye hapa dunian ambalo nilamsingi basi "Tuwatendee wema wazazi wetu"

Hebu jiulize kuna wakati mgumu kama kunyamanzisha mtoto ambae hujui analia kwa sababu gan? Maana yeye haongei hivyo sio rahis kujua kip kinamsumbua.

Lakin Mama husumbuka kuhakikisha mwanaye anakuwa katka har njema,Tuwape fadhira wazaz wetu.
Na wake zetu pia tusiwasahau
 
Mkuu, kaka yako alifata chakula na house girl usiku kwa muda wa masaa matatu..lazima watoto walivolia kuna jambo baba yao alikua akifanya[emoji28][emoji28][emoji28]
House girl na kaka wakatoka kuenda kutafuta chakula for three hours. Hapo inaonesha kwamba kwamba Kuna utamu wa chini ya kitovu kaka alienda kuupata kwa house girl .
Kwan kaka yako haez kufuata chakula adi aende na house girl? Kuna jambo hapo[emoji19]
Hapana hawezi kutoka nae.100% sure.
 
Hizo kazi ndio sipendi, mtoto atakuwa wangu akishashiba na kuogeshwa ili nipate kumlaza tu kifuani.
Akinya nakupa wewe, akilia nakupa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ndo wengi mpo hivo.Mtoto akilia kidogo Tu njoo umchukue anyonye.Sa huwa mnafikiri mara zote mtoto anataka ziwa.?Kulea si kazi nyepesi hata kidogo.
 
Na hawa bongo movie type wanajua kulea watoto, unaweza kujikuta umeingizwa mzigoni bila kupenda..
 
Hakuna kama mama mkuu. Na hapo sasa bado hukubadilisha nepi na kuvilisha. Na bado havijaumwa usiku kucha vinalia homa imepanda. Unaweza kutamani ardhi ipasuke. Wanawake wamejaliwa moyo wa upendo na uvumilivu wa hali ya juu sana.

Mungu awabariki mama zetu na kuwapa maisha marefu; na waliotangulia kwake Awape pumziko jema. Nasi tukiwa na kauwezo japo kidogo tusiwasahau. Waliteseka na kutuhangaikia sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen
 
Back
Top Bottom