mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Hayaa.ila nimepiga hesabu hyo laki 7+ Kwa mwezi .Mtu ambaye atakufanyia utaratibu wote huko Tanzania ni mwajiriwa wa serikali hiyo dhamana tosha pia unaweza kuja na mwanasheria wako kwamba unatoa pesa yako kwa ajili ya safari na ikienda tofauti utahitaji kurudishiwa pesa yako na mikataba ikasainiwa
Hizi kazi watoto wa mama hamfanyi nenda Abu Dhabi🤣🤣🤣.yaani tajiri Yako mpaka Sasa anatumia mixer ya mkono alafu ana hela ya kukulipa Kwa day 40,000.huyo kiboko
Usije ukajidanganya kwenda utakua msenge tu huko hata anayeteseka bongo anaweza kupata hiyo pesa hakuna dagaa wa 500 au 1000kuleHayaa.ila nimepiga hesabu hyo laki 7+ Kwa mwezi .
Ukija Kutoa matumizi unaweza ukabaki na laki.
Dah 😂AED 1,100 ni monthly payment?? Kazi za zege bongo zimefika 40,000/= per day si bora hapa hapa bongo
Mtu akilipwa 25,000 kWa Zege ni hela nyingi hapa TZ. Haijawahi tokea hata fundi mkuu kulipwa 40,000.🤣🤣🤣.yaani tajiri Yako mpaka Sasa anatumia mixer ya mkono alafu ana hela ya kukulipa Kwa day 40,000.huyo kiboko
Kumbe wahindi nao wanakiona cha mtema kuni huko?Mtu akilipwa 25,000 kWa Zege ni hela nyingi hapa TZ. Haijawahi tokea hata fundi mkuu kulipwa 40,000.
Kingine, sioni Mbongo anayeweza kumwaga Zege UEA, wanaweza Wahindi tu. Hili Tangazo ni mfupa uliomshinda fisi.
Hakuna sehemu ngumu kama kufanya kazi saidia fundi UEA! Gharama za maisha na hali ya hewa - joto. Sioni Mtanzania anayeweza!Kumbe wahindi nao wanakiona cha mtema kuni huko?
Hapana kaka mimi nimeishi Dubai kwa mshahara huo na nikikuwa nafanya saving ya laki 4 kwa mweziHayaa.ila nimepiga hesabu hyo laki 7+ Kwa mwezi .
Ukija Kutoa matumizi unaweza ukabaki na laki.
Yeah ni sahihi kabisa na ndio maana kwenye kazi hizo wamejaa Wa bangladesh,na wanepal kwa africa wamejaa Uganda na Burundi ila kwasasa ndo nimeanza kuona watanzania wapo wanajipambania kwenye kazi hizoHakuna sehemu ngumu kama kufanya kazi saidia fundi UEA! Gharama za maisha na hali ya hewa - joto. Sioni Mtanzania anayeweza!
Kwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000.
Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na utasafirishwa Abudhabi UAE kuanza kazi yako
*Free accommodation
*Free Transport
*Leave salary
*Medical insurance
Mshahara kwa mwezi ni AED 1100
Masaa 10 ya kazi kwa siku 6 ndani ya wiki na siku 1 ya mapumziko
Nakuelewa mkuu hata mimi nilikuwa na mentality kama yako ila maisha yaligeuka na nikawa sina namna,nikaja huku nikapambana na leo hii nashukuru kwa hatua niliyopigaUarabuni hata kama ni mshahara wa 100M siendi
Nyingi ya kazi za vibarua zinafanywa na wahindi.Kumbe wahindi nao wanakiona cha mtema kuni huko?
Wataobisha waache waende wakajioneeConditions for construction workers in Abu Dhabi involve significant labor rights issues, including long hours, wage theft, passport confiscation, hazardous environments (extreme heat, accidents), and debt from recruitment fees, despite UAE laws and government initiatives, with many workers from South Asia facing precarious situations, inadequate support, and exploitation that impacts their health and finances, although there are also ongoing efforts by authorities to improve safety and adherence to labor laws, especially concerning heat breaks and worker awareness
.
Key Challenges
- Long Hours & Wage Issues: Workers often exceed legal limits (8 hrs/day, 48 hrs/week) and face delayed or withheld wages, notes ECDHR and Human Rights Watch.
- Recruitment Fees & Debt: Exorbitant fees paid to recruiters leave workers heavily indebted, impacting remittances to families.
- Passport & Movement Restrictions: Employers often retain passports, preventing workers from leaving or changing jobs, notes Human Rights Watch and Business and Human Rights Centre.
- Unsafe Conditions: Extreme heat, falls, and hazardous materials are risks, with inadequate medical care and reporting of injuries.
- Lack of Accountability: Weak enforcement of labor laws, lack of unions, and inadequate oversight by authorities persist, reports Human Rights Watch and Human Rights Watch.