Bongo mshahara wa laki 7 anaupata mwalimu,ila ukiwa mgaigai wa kufanya kazi kwenye sekta binafsi tena unskilled labour huwezi kupata hata mshahara wa laki 4 kwa mweziAED 1,100 ni per month sio per week that’s very little money but I’ll reserve my judgment it might be a lot for someone, bongo is extremely poor
Ni sahihi kabisa mkuu,hizi mentality ndo ambazo zinatufanya watanzania wengi kudumaa kwenye ufikiriAED 1,100 ni monthly payment?? Kazi za zege bongo zimefika 40,000/= per day si bora hapa hapa bongo
Acha uongo wewe.AED 1,100 ni monthly payment?? Kazi za zege bongo zimefika 40,000/= per day si bora hapa hapa bongo
Hamna kitu huyo mboga mboga huyoInabidi atupe hiyo connection watu waende kupiga hilo zege wapate 40,000/= kwa mwezi
Inabidi atupe hiyo connection watu waende kupiga hilo zege wapate 40,000/= kwa mwezi
Conditions for construction workers in Abu Dhabi involve significant labor rights issues, including long hours, wage theft, passport confiscation, hazardous environments (extreme heat, accidents), and debt from recruitment fees, despite UAE laws and government initiatives, with many workers from South Asia facing precarious situations, inadequate support, and exploitation that impacts their health and finances, although there are also ongoing efforts by authorities to improve safety and adherence to labor laws, especially concerning heat breaks and worker awarenessHuteki mtu hapa, wala huambulii figo ya mtu hata mmoja achilia mbali maini.
Naona umeweka Slavery Opportunity. Mnaotaka kwenda utumwani muexperience kile fore fathers wetu walipitia, fursa hyo hapo; muichangamkie chapchap mpate fursa ya kutravel back to time.Kwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000.
Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na utasafirishwa Abudhabi UAE kuanza kazi yako
*Free accommodation
*Free Transport
*Leave salary
*Medical insurance
Mshahara kwa mwezi ni AED 1100
Masaa 10 ya kazi kwa siku 6 ndani ya wiki na siku 1 ya mapumziko
Mtu ambaye atakufanyia utaratibu wote huko Tanzania ni mwajiriwa wa serikali hiyo dhamana tosha pia unaweza kuja na mwanasheria wako kwamba unatoa pesa yako kwa ajili ya safari na ikienda tofauti utahitaji kurudishiwa pesa yako na mikataba ikasainiwaHamna kitu huyo mboga mboga huyo
Na NYIE ni waaminifu kweli msije mkapiga watu.
Una muhakikishia nini mtu kuwa yupo sehemu salama kwenye kampuni yenu
Usisahau kuwaeleza joto la kule
Acha uongo wewe.
Bongo ipi upewe 40,000 Kwa kumwaga zege.unaumwa?
Mi napiga hapa kariakoo chini pensi juu vest siyo poa watoto wa mama nendeni Abu dhabiHamna kitu huyo mboga mboga huyo
Na NYIE ni waaminifu kweli msije mkapiga watu.
Una muhakikishia nini mtu kuwa yupo sehemu salama kwenye kampuni yenu
Nakwambia hivi.Mi napiga hapa kariakoo chini pensi juu vest siyo poa watoto wa mama nendeni Abu dhabi
Mi nalipwa kwa day au night mara nyingi zege inapigwa usiku wakati nyinyi mmeshalala!Nakwambia hivi.
Hakuna sehemu yoyote utamwaga zege Kwa 40,000 hapa Tanzania.
Mimi hizo ndo kazi zangu usipotoshe watu
Ukienda kwenye makampuni ndo kabisa hawalipi Kwa zege bali DAI.
Yaani unalipwa day Yako sio Kwa kazi
Wafunge kamba hao hao.Mi nalipwa kwa day au night mara nyingi zege inapigwa usiku wakati nyinyi mmeshalala!
Ngoja niweke kokoto kwenye mixer hapa tutachati baadaye!Wafunge kamba hao hao.
Kwanza Sasa hivi zege kwenye magorofa hawabebi Kwa kichwa wanatumia mitambo kazi yenu ni kusambaza tu na mafundi wanapiga rati.alafu ndo mlipwe 40,000 Kwa siku?😄😄😄
🤣🤣🤣.yaani tajiri Yako mpaka Sasa anatumia mixer ya mkono alafu ana hela ya kukulipa Kwa day 40,000.huyo kibokoNgoja niweke kokoto kwenye mixer hapa tutachati baadaye!