Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na utasafirishwa Abudhabi UAE kuanza kazi yako
Huo mshahara ni kama dola 300 tuu kwa mwezi1000$ nikiwa nayo nakua bilionea nchi hii...
Ila Coco sasa hivi utakua mzee sana utaweza kweli kufanya kazi maana taangu jamii forums inaanza we upo 😂😂😂😂 Hongera sana mheshimiwa cocochanel depo ya kitamboHakuna kutuma CV wala interview Na mwajiri kumjua ni nani?
Kusafirishwa na nani?
Link mtaka kazi atajua wapi na kampuni ipi anaenda kufanyia kazi?
Kwahiwo mwombaji hatui pesa yoyote zaidi ya hiyo 1k, hizo zingine kwanini bure au ndio kudaiwa baadae?
Haya tuanzie hapo nimesoma tu uliyoandika
Hakika mkuuBora niendelee kufuga mbuzi
free accommodation means unakwenda kuishi kwenye matent jangwani au kwenye hosteli moja yenye watu kama mia hivi mchanganyiko wa Wapakistani,wahindi, wa Indonesia na wagilipinoAED 1100 * 690=TZS 759,000.00/week ni pesa ndogo kufanya kazi masaa 10 kwa wiki pia kule kuna gharama za kuishi rent zipo juu kodi ya chumba kimoja ina range AED 6000-8000 yaani Sh. 4,400,000-5,500,000 na wewe unapata AED 1100/week means monthly ni AED 4,4000*690 = TZS. 3,036,000 sema uzuri kuna free accommodation na uzuri wake UAE hakuna PAYE yaani hulipi kodi ila mi bado naona pesa ndogo hajanishawishi kuondoka TZ ?
AED 1,100 ni per month sio per week that’s very little money but I’ll reserve my judgment it might be a lot for someone, bongo is extremely poorAED 1100 * 690=TZS 759,000.00/week ni pesa ndogo kufanya kazi masaa 10 kwa wiki pia kule kuna gharama za kuishi rent zipo juu kodi ya chumba kimoja ina range AED 6000-8000 yaani Sh. 4,400,000-5,500,000 na wewe unapata AED 1100/week means monthly ni AED 4,4000*690 = TZS. 3,036,000 sema uzuri kuna free accommodation na uzuri wake UAE hakuna PAYE yaani hulipi kodi ila mi bado naona pesa ndogo hajanishawishi kuondoka TZ ?
Free accommodationAED 1100 * 690=TZS 759,000.00/week ni pesa ndogo kufanya kazi masaa 10 kwa wiki pia kule kuna gharama za kuishi rent zipo juu kodi ya chumba kimoja ina range AED 6000-8000 yaani Sh. 4,400,000-5,500,000 na wewe unapata AED 1100/week means monthly ni AED 4,4000*690 = TZS. 3,036,000 sema uzuri kuna free accommodation na uzuri wake UAE hakuna PAYE yaani hulipi kodi ila mi bado naona pesa ndogo hajanishawishi kuondoka TZ ?
Hii kazi haina umuhimu wa kuhitaji CV yako,kwa mtu aliyeishi dubai atakuwa anajua vzr kazi za construction helper zilivyoHakuna kutuma CV wala interview Na mwajiri kumjua ni nani?
Kusafirishwa na nani?
Link mtaka kazi atajua wapi na kampuni ipi anaenda kufanyia kazi?
Kwahiwo mwombaji hatui pesa yoyote zaidi ya hiyo 1k, hizo zingine kwanini bure au ndio kudaiwa baadae?
Haya tuanzie hapo nimesoma tu uliyoandika
Usisahau kuwaeleza joto la kuleKwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000.
Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na utasafirishwa Abudhabi UAE kuanza kazi yako
*Free accommodation
*Free Transport
*Leave salary
*Medical insurance
Mshahara kwa mwezi ni AED 1100
Masaa 10 ya kazi kwa siku 6 ndani ya wiki na siku 1 ya mapumziko
Hiyo Jela sasa😂😂😂free accommodation means unakwenda kuishi kwenye matent jangwani au kwenye hosteli moja yenye watu kama mia hivi mchanganyiko wa Wapakistani,wahindi, wa Indonesia na wagilipino
AED 1,100 ni monthly payment?? Kazi za zege bongo zimefika 40,000/= per day si bora hapa hapa bongoAED 1,100 ni per month sio per week that’s very little money but I’ll reserve my judgment it might be a lot for someone, bongo is extremely poor
Kiongozi naona unapiga hesabu za rent za kuishi kwenye apartments ila sehemu za kuishi au kulala hapa UAE zimegawanyika kama ifuatavyo,kuna Bed space ambayo kwa mwezi inaanzia 200aed hadi 1000aed,pia kuna partition hizi zinaanzia 1000aed hadi 2000aed pia kuna chumba kizima hapa unalipa kuanzia 1500 na kuendelea ni kutokana na sehemu chumba kilipoAED 1100 * 690=TZS 759,000.00/week ni pesa ndogo kufanya kazi masaa 10 kwa wiki pia kule kuna gharama za kuishi rent zipo juu kodi ya chumba kimoja ina range AED 6000-8000 yaani Sh. 4,400,000-5,500,000 na wewe unapata AED 1100/week means monthly ni AED 4,4000*690 = TZS. 3,036,000 sema uzuri kuna free accommodation na uzuri wake UAE hakuna PAYE yaani hulipi kodi ila mi bado naona pesa ndogo hajanishawishi kuondoka TZ ?
Free accommodation maana yake ni kwamba utapewa bed space kama zilivyo hostel za chuo,chumba kimoja watu wannefree accommodation means unakwenda kuishi kwenye matent jangwani au kwenye hosteli moja yenye watu kama mia hivi mchanganyiko wa Wapakistani,wahindi, wa Indonesia na wagilipino