Kazi ya comment kwenye programming language

Kazi ya comment kwenye programming language

Tembea na python kama unataka kuteleza.. kama uko serious abt programming jichimbie na C..
Haya masuala ya programming ukiomba ushauri mtu unachanganyikiwa mwingine atamwambia achana na c# unless unataka kuwa programmer wa drivers soma c++ ni objective oriented.
mwingine atamwambia achana na c++...
 
Sasa nianze na kusoma nini?
Mkuu ukiulizs hili swali utachanganyikiwa kwa majibu ya watu!!

Ukitaka kujua uanze na nini..jiulize haya...

1. Je unaipenda mambo ya IT?

2. Je unapenda kutengeneza softwares kama za kwenye simu/android au unapenda uwe unatengeneza websites??

3. Je una idea au basics za computer programming?? Nb...hata kama huna idea unaweza jifunza programming as long as una passion!!

Ukiyajibu haya maswali utapata sehem nzuri ya kuanzia!!
 
Napena sana mambo haya ya IT na nataka kutengeneza webites
 
Websites huna haja ya kusoma c++ au c!! Anza na css na html baada ya hizi amia kwenye javascript au uhamie kwenye php..
htm na css na idea idogo lakini sijajua namna au njia itakayo nifanya ni specialize zaidi je unaweza ukaniongoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom