DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,259
- 4,691
Mkuu wale si wanaelewekaaa,huyu mkaka alozungukwa na wa dada na wamama nichore hapa niongeze hapa nipandishie nguo juu Henna itanichafua mtihani ule nao..
Mbona wanawake hamkatai? Huyo anafaidi sana
Mkuu wale si wanaelewekaaa,huyu mkaka alozungukwa na wa dada na wamama nichore hapa niongeze hapa nipandishie nguo juu Henna itanichafua mtihani ule nao..
kabisa wekeza kwenye pesaTatizo watu wamewekeza mapenzi kwenye kazi ambayo ni makosa
sidhani hata kama anafaidi manake naona amesha chokaa kuona..Mbona wanawake hamkatai? Huyo anafaidi sana
Alhamdulillah mume wangu ananitosheleza sanaa mwenyezi mungu aniwekee,huyu mkaka hata hao wanawake anawaona wa kawaida na wanawake wanamuona kama mwezao as hana ile mishemishe kabisaa ya sijui kama wale wakina fulaniMkuu NIMPENDENANI nadhani mpende sana huyo mkaka mpaka hina maana atakupa style za michoro wakaka tunazopenda.
We unamfunulia akuchore.... afu una mshamgaa....hv hapo nan mjinga km c huyo anayechorwaHabari za Asubuhi waungwana,
Tulikua na Harusi last two weeks,sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora
nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa 4 -5 sababau tunakua wengi,tumeshangaa kumuona Mkaka ana chora watu Henna tena fundi na anafunguliwa mgongo anachora kiuno anachora,nikajiuliza ivi kweli ni sawa mkaka wa 30-32yrs unazungukwa
na wadada huyu kafungulia mguu na its okay by him,
Wanaume naomba kujua ivi hii ni sawa?
Waosha kucha mie pia hua siwaelewi ila huyu mtia Henna ndio amenifanya nijuilize,na nikamuliza
why amechangua kazi hii ya kutia Henna anasema imetoka tuu na kapenda na pia hela yake ni nzuri haisubiri mwisho wa mwezi....
Yeah but still,sio kazi yakiume,ivi seriously unajisikiaje ingekua wewe umezungukwa na wanawake huyu kakufungulia mguu huyu sijui mgongo,na huoni chochote ndio kwanza unasema chora na hapa seriously?Majibu yake umeyaelewa?
Swali ni jee hi ni kazi ya kiume kuchora Henna? naomba niweke wazi mkuu labda hujasoma post zote mie hakunichora,yupo mdada alie nichora me biharusi na watoto..We unamfunulia akuchore.... afu una mshamgaa....hv hapo nan mjinga km c huyo anayechorwa
Na wewe alikuchora kiunoni?Enhe huyo namuita mwanamke wa shoka,ila mwanamme haielekei it looks bad..lol,ivi shosti kweli umkute mr anamchora mtu kiunoni utajisikiaje, nilimuonea huruma sanaaa lakini mwenyewe walaaaaaaaaaaaa anacheka tuu..
Hapo sasa unakua hutaki apendeze,huyu mkaka hata wewe ukimuona unajua huyu hawezi fanya chochote manake amekuaAaaah hapo sasa km ndo mke wangu simruhusu achorwe na huyo jamaa bola nimchore mwenyewe hata kwa mark pen
[emoji106]Swali ni jee hi ni kazi ya kiume kuchora Henna? naomba niweke wazi mkuu labda hujasoma post zote mie hakunichora,yupo mdada alie nichora me biharusi na watoto..
Hayajakukuta ww uliza wenzio....Hapo sasa unakua hutaki apendeze,huyu mkaka hata wewe ukimuona unajua huyu hawezi fanya chochote manake amekua
sana around wanawake tangu alivyokua Mombasa ndio aliko jifunzia Henna,anauza mpaka Chachandu...sasa kwa wanawake mtu huyo hua tuna muhesabu he is not a man..
Swali ni jee hi ni kazi ya kiume kuchora Henna? naomba niweke wazi mkuu labda hujasoma post zote mie hakunichora,yupo mdada alie nichora me biharusi na watoto..
Upi huo wakutia Henna?Unyanyasaji wa kijinsia
Kushawishika hakubagui... Sema tu hujakutwa n bhn pepsiHayajakukuta ww uliza wenzio....
Mkuu kwani huyo anaekuchora ndie Basiiiiiiii unadhani? ila sijaona anae chorwa huko zaidi ya kiuno,na wala mchoraji hashitukiiiiiHata kalio wanachora wanawake hawafai kabisa no aibu
Hivi ni lazima mchorwe?Swali ni jee hi ni kazi ya kiume kuchora Henna? naomba niweke wazi mkuu labda hujasoma post zote mie hakunichora,yupo mdada alie nichora me biharusi na watoto..
Mkuu sijui zaidi lakini kwa mtazamo unajua kama huyu sie ile koni ya Henna akiikamata unajua au kuna namna,akiongea story zake..Hayajakukuta ww uliza wenzio....
Enhe kuchorwa lazima lakini sio lazima kuchorwa na mwanamme na huyu ndio wa kwanza kumuona na balaa hili..Hivi ni lazima mchorwe?