Mwanaume kuwa shoga siyo hadi apigwe pipe ndukumni.Mkuu;
Hiki kiwanda wewe waona hakifai?? Ndio ajira zenyewe hizo mkuu, usijali tutafika tu. Cherehani 4 kiwanda, team ya wachora miguu ya wanawake 4 ni kiwanda cha upambaji. Tz ya View-wonder
Inawezekana ni za kutiana majaribuni but zina maslahi makubwa tuJamani hebu endelea zako huko kunatosha hizo kazi nyingine ni za kutiana majaribu tu.
Lini nije nikupake ina mkuuHela mkuu! Usawa huu hamna kazi za mwanamke wala mwanaume... Kama mwanaume anaingia leba kumzalisha mwanamke sioni hili la kupaka hena kama ni ajabu!!!
Sidhani aiseeInawezekana ni za kutiana majaribuni but zina maslahi makubwa tu
Mimi siko upande tofauti na wako, ninachokisema ni kwamba huo utaratibu wa kuwaona kila mara na hutakiwi kuwafanya kitu unaua nerves, na kwa vile ni tendo la mara kwa mara na la kipindi kirefu likelihood ni kwamba ameshakuwa sugu.
Kama wewe ni mpenzi wake unadhani ni jitihada kiasi gani zinatakiwa kufanyika ili asimamishe?
Imefifia mnooooKwa hiyo bado unayo hiyo tattoo kwenye titi lako?
mmmmm,hodari kweli..Tena wakaka ndo wachoraji wazur sana wako makini sana kazi yao......acha me kesho nikachore ramadhan hiyo imefika!
mmmmh....ukitaka kuwa kamata wanawake.fanya hizo kazi,uza urembo,na pafyumu na nguo zao.utawakimbia.
Haaa aya bhana nimeacha ila karoho kanaumaSidhani aisee
Hilo ulilosema ni la kwanza, la pili tatoo zingine huchorwa sehemu tata zaidi ya paja na wachoraji ni wanaume.Kazi kazi tu mkuu, wapo wanaofanya massage (massage ya mwili mzima) sijui unawazungumziaje.
Mkuu, nini kilikusukuma kuchora tattoo??Imefifia mnoooo
lol,umenifanya nicheka as if umeona huko sijaona ila mapajani kiuno kifua mgongo yes na hawakuvua nguo zote yule mwenyewe ndio anasogeza,ila hakua na tabia mbaya nisiseme uwongo unapotaka ndio anapo kuchora na wala tamaa kukutamani hana yuko busy na kazi yake..Na mlivyo na akili mbovu si ajabu aliwachora hadi tako...mnavua vua tu nguo hovyo...hamjui mwiki wa mwanamke una thaman gan!
Kweli shosti Hodari na yuko faster.Tena wakaka ndo wachoraji wazur sana wako makini sana kazi yao......acha me kesho nikachore ramadhan hiyo imefika!
Nina mashaka na hao wanawake alokua anawachorahahahahahahah mie shosti apana mbona hiyo kazi haifanyiiiiiiiiiiiiii no way,wanaume wenyewe hawa hawapigiwi wanacheza,ila yule mkaka shosti walaaaaaaaaaaaaaaaa wavue mpaka basi hata mshipa haumgongi..
Nilimuona Irene uwoyaMkuu, nini kilikusukuma kuchora tattoo??