MulRZGM
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,015
- 748
Aya NIPENDEMIMI [emoji38][emoji38]Mkuu sijui zaidi lakini kwa mtazamo unajua kama huyu sie ile koni ya Henna akiikamata unajua au kuna namna,akiongea story zake..
Aya NIPENDEMIMI [emoji38][emoji38]Mkuu sijui zaidi lakini kwa mtazamo unajua kama huyu sie ile koni ya Henna akiikamata unajua au kuna namna,akiongea story zake..
mmmmmh,wewe hata ukisema unapaka bure hakuna atakae kubali manake nia yako sio nzuri..lolHiyo kazi nimetokea kuipenda
Usipochorwa unadhurika nini?Enhe kuchorwa lazima lakini sio lazima kuchorwa na mwanamme na huyu ndio wa kwanza kumuona na balaa hili..
Wachaga na kuchora tenaaa???kwanza miss chagga hauna hamu ya mapenzi zaidi ya kutafuta pesa tu kama unataka pesa semajifunze unichore kwenye nyonyo
Shemeji hebu kajifunze nikutafutie wateja.Nahisi hiyo kazi inaweza kuwa na marupu rupu mazuri pia. Hivi si wanachoraga na vifuani, mapajani ...!
Labda niseme ni Utamaduni wetu na malezi nilio kulia na dini pia inachangia,huenda usinielewe lakini wako watakao nielewa khasa waleee wanaojua Pambo la Henna...au kama unarafiki wako wa karibu Mulize ivi eti Henna ina raha gani mkeo akikupakia tafuta mwanamme Rijali sio wale wananihii wale wasojua maana...Usipochorwa unadhurika nini?
Wala mda nazo hana yani hashughuliki khasaaaaaaaaaaa,halafu hodari wakuchora amejifunzia Mombasa..Duh .yani anakula kwa macho hivi hivi.inataka moyo.Mimi ningewachombeza hadi wanitunuku
mmmmh,wewe hutopata wateja manake utakua unawatamani...Kazi nzuri sana iyo ata mi nataka niachane na utumishi wa uma niwe nawachora wanawake
Mkuu huyu mkaka ana funuliwa paja anachora wala hana time,kiuno anachora,mgongo anachora na husikii mtu anasema kanipapasa wala nini,halafu yuko faster na anavyojichanganya anakunywa uji wake wa kungu na kazi inaendelea hana hata wasi wasi,wanavyomkimbilia mkaka wawatu..
oooooh jamani apana ktu mwenyewe sie anauza mpaka chachandu mie unamuweka kwenye kundi la wanaume Marijali huyo? mie hata sukumuelewa mpaka kaondoka nikamuachia mwenyewe Dunia yake,sema mkono wake mwepesi kwenye kuchora na maua anatoa kichwani...kwahiyo ushaanza kumtamani mkaka wa watu NIMPENDENANI
Shemeji hebu kajifunze nikutafutie wateja.
Nataka pesaWachaga na kuchora tenaaa???kwanza miss chagga hauna hamu ya mapenzi zaidi ya kutafuta pesa tu kama unataka pesa sema
Unao wakuchorwa?jifunze unichore kwenye nyonyo
Unayo ya kuchorwa?
Hata sijuiUnao wakuchorwa?
Na wewe ulichorwa pajani?Swali ni jee hi ni kazi ya kiume kuchora Henna? naomba niweke wazi mkuu labda hujasoma post zote mie hakunichora,yupo mdada alie nichora me biharusi na watoto..
Wasambaaa ndio kazi zao hio wamejaa hapa stand ya Arusha,sijui kwanin wanaipenda hii kazi...Hao ni warangi,ndio hua kazi zao hizo