Kazi nyingine wanaume sio zenu

Kazi nyingine wanaume sio zenu

Hakuna mtu alikua na shughuli nae mkuu,ilikua ni kazi na mashallah anaiweza,hodari na yuko faster tuna harusi pia Dec kasema atakuja kuwachora ...
Aaaah hapo sasa km ndo mke wangu simruhusu achorwe na huyo jamaa bola nimchore mwenyewe hata kwa mark pen
 
Sexuality aside let the men earn their cash. Its honest and doesn't come too easy.
 
Mmm wadada onyesheni tu nyonyo mchorwe hena, maisha magumu haya kila kazi inavamiwa. Mtakuja mpakwe pakwe mahena usoni Ohoo, wanaume wengine hawazoea ni maisha tu.
 
Me enzi za secondary nilkua na wachora sana madada tatoo acha vidume waninunie eti nawalia vidosho wao nikaacha kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari za Asubuhi waungwana,

Tulikua na Harusi last two weeks,sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora
nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa 4 -5 sababau tunakua wengi,tumeshangaa kumuona Mkaka ana chora watu Henna tena fundi na anafunguliwa mgongo anachora kiuno anachora,nikajiuliza ivi kweli ni sawa mkaka wa 30-32yrs unazungukwa
na wadada huyu kafungulia mguu na its okay by him,

Wanaume naomba kujua ivi hii ni sawa?
Waosha kucha mie pia hua siwaelewi ila huyu mtia Henna ndio amenifanya nijuilize,na nikamuliza
why amechangua kazi hii ya kutia Henna anasema imetoka tuu na kapenda na pia hela yake ni nzuri haisubiri mwisho wa mwezi....
HIYO NZURI SANA INATUFAA WANAUME...YANI NAFUNGULIWA MAPAJA NA MGONGO...PAZURI HAPO TENA NIKIWA NAE MWENYEWE NDIO NZURI NAWEZA PATA NA BONUS YA HIYO KAZI
 
Habari za Asubuhi waungwana,

Tulikua na Harusi last two weeks,sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora
nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa 4 -5 sababau tunakua wengi,tumeshangaa kumuona Mkaka ana chora watu Henna tena fundi na anafunguliwa mgongo anachora kiuno anachora,nikajiuliza ivi kweli ni sawa mkaka wa 30-32yrs unazungukwa
na wadada huyu kafungulia mguu na its okay by him,

Wanaume naomba kujua ivi hii ni sawa?
Waosha kucha mie pia hua siwaelewi ila huyu mtia Henna ndio amenifanya nijuilize,na nikamuliza
why amechangua kazi hii ya kutia Henna anasema imetoka tuu na kapenda na pia hela yake ni nzuri haisubiri mwisho wa mwezi....
Majibu yake umeyaelewa?
 
Mkuu NIMPENDENANI nadhani mpende sana huyo mkaka mpaka hina maana atakupa style za michoro wakaka tunazopenda.
 
wengi wanakuwa wabovu...sio wazima...nina maana ni hawa JAMAA WANAOPIGWA VIBOKO HADHARANI huko INDONESIA...
 
Kazi ni kazi.. Kaka wachoreeeeeeeeee.... Wakihitaji kuchorwa zaidi wachore bureeee[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom