Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Bado hajaona na hana hata mtoto,nimemwambia atanye kazi nzito,kanijibu shosti hii nayo yakupinda mgongo na shingo sio ndogo ivooo!! nimechekaaaa..
Hakukuelewa unamaanisha nini.
Bado hajaona na hana hata mtoto,nimemwambia atanye kazi nzito,kanijibu shosti hii nayo yakupinda mgongo na shingo sio ndogo ivooo!! nimechekaaaa..
Kama hizi ndiyo akili za watanzania, acha Akasia watuibie tu.
hebu nikufahamishe..wanaume hatutaki masihara kabisa katika biashara zetu..lakini nyuma ya pazia utakuta huyu mkaka anakula minofu ya haja kwa hao wadada...hapo tu ananyenyekea aaminike ni mtu safi sanahahahahha apana sio kwa hili la kutia Henna ungeona walivyokua wanamfanyia Indaaa kaka mie hapa bado,mie nataka kijiua kiduuuchu hapa pajani poor him,na sauti yake ilivyo ndogo ....
Shogaa hata mie najua lkn kwa kipigo kilevibaya Henna sunna..
#teamsingle#
Itakua ameshazowea kuona,manake ameanzia kuchora mombasa ndio akahamia Dar,na hodari maharusi mengi nasikia wanamuita..
Hajalainika lakini yani kama vile ma shoga huyu amekazina ila kwa mbaliiiiiiiiiii unaweza kutia mashaka..Kama ni wa Mombasa huyo tayari.
hahahahha poleeeeeeee..Shogaa hata mie najua lkn kwa kipigo kile
Subutu
mmmmmh kwa huyu sijui lakini hata dalili ungeona mfano anamchora mtu Henna kiunoni,begani shingoni ,ndio kwanzaaaaaaaaaa hata mshipa haungongiii anaagizia uji wake wa kungu,anaongezea speed ya kazi nadhani..hebu nikufahamishe..wanaume hatutaki masihara kabisa katika biashara zetu..lakini nyuma ya pazia utakuta huyu mkaka anakula minofu ya haja kwa hao wadada...hapo tu ananyenyekea aaminike ni mtu safi sana
Mkuu wale si wanaelewekaaa,huyu mkaka alozungukwa na wa dada na wamama nichore hapa niongeze hapa nipandishie nguo juu Henna itanichafua mtihani ule nao..Jiulize wasanii wakuchora tattoo wanafanyaje pale wanapochora kwenye makalio ya wanawake au juu ya bimkubwa alafu utapata jibu
Hajalainika lakini yani kama vile ma shoga huyu amekazina ila kwa mbaliiiiiiiiiii unaweza kutia mashaka..
Kwa hiyo bado unayo hiyo tattoo kwenye titi lako?Mimi niliwahi kuchora ziwa tattoo bhanaa..... . wacha nirudi kwa Shemeji yenu anioneeee mweeee nilikumbuka jina la utani la bibi mzaa bibi mzaa mamaa we nilipigwaa mpk nikasema nimefika peponiii...... Wasukumaa waacheni tuuu
Ila ni kitambo kidogoo
#teamsingle#
Mkuu dhana mbaya ivooo lol......... nadhani yuko vile sababau yakusogeleana na wanawake sanaaa,au amevumiliaaaa mpaka moyo wake umesha kufa ganzi akiona mapaja viuno anaona sawa,isitoshe ana tunga mpaka chachandu kila style ana jua kuchuma hela za wanawake..Kwa Mombasa na kazi anayoifanya hata usihangaike kujiuliza.
Mkuu dhana mbaya ivooo lol......... nadhani yuko vile sababau yakusogeleana na wanawake sanaaa,au amevumiliaaaa mpaka moyo wake umesha kufa ganzi akiona mapaja viuno anaona sawa,isitoshe ana tunga mpaka chachandu kila style ana jua kuchuma hela za wanawake..
Mkuu amesha zowea kuona hivyo vitu mfano pale amewatia Henna watu kama 35,na wengine wamekuja tuu bila number,siku ya shughuli ya Henaa ndio usiseme,sasa mda wote huo anaona wanawake tofauti rangi tofauti umbo tofautiKufa ganzi ndo kunakuanza kukuletea matatizo, ina maana akiona hasisimki, na kama hasisimki hata kwa kugusa wewe unategemea nini?
Ina maana sana sana kusimamisha ni mpaka apigwe boost, sasa si uhanithi huo?
Mkuu amesha zowea kuona hivyo vitu mfano pale amewatia Henna watu kama 35,na wengine wamekuja tuu bila number,siku ya shughuli ya Henaa ndio usiseme,sasa mda wote huo anaona wanawake tofauti rangi tofauti umbo tofauti
atawatia vile mtu anavyotaka mwengine anatak nusu mikono na miguu wengine mgongo wengine kifua wengine kiuno sasa atatamani wangapi?