Kazi nyingine wanaume sio zenu

Kazi nyingine wanaume sio zenu

Shemeji nikijua kuchora wewe ntakuwa sikulipishi.
Sasa si utapata hasara maana unatumia material na muda wako!! ukiweza kuchora nakushauri ufanye hivi: hata kama unanichora mie, unaniambia wazi kuwa biashara yangu haikujui mimi na wewe ndio tunafahamiana, hahahahhaahahha
 
Mkuu;
Naona kama ka wivu flan hivi hapo. Udhalilishwaji umetokea wapi hapo? Jamaa anaipakata miguu mingine wewe hujawahi ota hata kuigusa kwenye daladala
Kama hizi ndiyo akili za watanzania, acha Akasia watuibie tu.
 
Cha muhimu anajipatia kipato kwa njia halali, wanawake huwa siwaelewi hapo jamaa akiwa hana hela mnamwita mwanaume suruali sasa ameamua kuzitafuta kwa njia halali bado mnamshangaa na kumkebehi
Sijamkebehi ila sijategemea kumuona mwanamme anatia henna,angekua hata mshoni ningeelewa lakini kuchora Henna sioni kama sawa...
 
Nadhani ni demand kubwa ya maisha inayowekwa kwa wanaume inawabidi kufanya kazi kama hizo...Hizo zina afadhali kuliko kuzama mgodini na kuchimba mchanga... ila ni kazi za kike
Mwanaume anatakiwa afanye kazi physical na rough nyingine ni kuwaachia wadada/wamama wajipatie vipato pia
may be,lakini mmmm...
 
Sasa si utapata hasara maana unatumia material na muda wako!! ukiweza kuchora nakushauri ufanye hivi: hata kama unanichora mie, unaniambia wazi kuwa biashara yangu haikujui mimi na wewe ndio tunafahamiana, hahahahhaahahha

Dah, sa shemeji ntawezaje kukudai wewe?

Maana nitaishia kuona aibu tu.
 
Sijamkebehi ila sijategemea kumuona mwanamme anatia henna,angekua hata mshoni ningeelewa lakini kuchora Henna sioni kama sawa...
Mkuu kupaka henna hamna tofauti na kuchora tattoo. Kama wanaume wenzake wanawachora wanawake tattoo sehemu mbalimbali za mwili kwa nn yeye asifanye?. Mm nampa pongezi maana amejiajiri kuliko wanaoshinda kutwa kulialia hawawezeshwi wanashindwa kuwa wabunifu kama huyo mchoraji
 
mi sioni tatizo mamy wewe mdada unayemfunilia akuchore ndiyo tatizo,.. kazi nzuri tu
Tatizo shosti lipo mbona zipo kazi tele za kiume seriously mwanamme unafanya kazi yakushika shika wanawake mikono mara umepandisha kanga juu ya magoti mara umeitwa na huyu anakwambia hapa bado kwenye mgongo,nilikua namuonea huruma mpaka nikamuliza why amechagua kazi hii nilihisi it was too much for him..
 
Dah, sa shemeji ntawezaje kukudai wewe?

Maana nitaishia kuona aibu tu.
hhahahahaha, sasa shemeji ina maana hata ukinunua daladala yako mfano inafanya route za hapo kwetu Kabanga - Manyovu utaona aibu kuwachaji abiria nauli, maana karibia abiria wote watakua ni mtoto wa kaka, mara wa shangazi, mara wa baba ubatizo ahahahhahah
Siri ya biashara unatakiwa kutengenisha mahusiano yenu na biashara, ndio maana shemeji hata wenye baa zao akizungusha mnyororo lazima alipe bili yake kama mteja mwingine. hahahahahahaahah
Narudia tena shemeji shughuli yako ya kunichora haina uhusiano wala urafiki na mie, ila mimi na wewe ndio marafiki
 
Mlisema mnataka usawa..ndiyo mkaiita equality..tena mkasema what a man can do a woman can do better...hivyo mlitegemea kazi zenyu tuwaachie kisha tuwaruhusu kuja kutumalizia nafasi katika kazi za kiume?...if its equality it should be 2way..mie hata nataka niwe nawafanya masaji au niwe kinyozi wenyu wa kuwanyoa ndevu za kule maasalini..
 
Tatizo shosti lipo mbona zipo kazi tele za kiume seriously mwanamme unafanya kazi yakushika shika wanawake mikono mara umepandisha kanga juu ya magoti mara umeitwa na huyu anakwambia hapa bado kwenye mgongo,nilikua namuonea huruma mpaka nikamuliza why amechagua kazi hii nilihisi it was too much for him..
ha haha mbona kuna wanawake wanapasua zege?
 
Nahisi hiyo kazi inaweza kuwa na marupu rupu mazuri pia. Hivi si wanachoraga na vifuani, mapajani ...!
wanachora kote wengine ndio wanamfanyia indaaa nichore mgongoni sijui nichore kiua hapa kiunoni,lakini nimemambia kama hujisikii kuwachora sehemu nyeti wambie usione tabu,nilikua namuonea huruma,ila ni Hodari na anamkono mwepesi..lol
 
hhahahahaha, sasa shemeji ina maana hata ukinunua daladala yako mfano inafanya route za hapo kwetu Kabanga - Manyovu utaona aibu kuwachaji abiria nauli, maana karibia abiria wote watakua ni mtoto wa kaka, mara wa shangazi, mara wa baba ubatizo ahahahhahah
Siri ya biashara unatakiwa kutengenisha mahusiano yenu na biashara, ndio maana shemeji hata wenye baa zao akizungusha mnyororo lazima alipe bili yake kama mteja mwingine. hahahahahahaahah
Narudia tena shemeji shughuli yako ya kunichora haina uhusiano wala urafiki na mie, ila mimi na wewe ndio marafiki

Sawa nimekuelewa, ila pia itategemea na nimekuchora wapi na wapi, maana kuna pengine nikifika nitaona kama nimeshajilipa tayari.
 
ha haha mbona kuna wanawake wanapasua zege?
Enhe huyo namuita mwanamke wa shoka,ila mwanamme haielekei it looks bad..lol,ivi shosti kweli umkute mr anamchora mtu kiunoni utajisikiaje, nilimuonea huruma sanaaa lakini mwenyewe walaaaaaaaaaaaa anacheka tuu..
 
Back
Top Bottom