Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Mkuu huyu mkaka ana funuliwa paja anachora wala hana time,kiuno anachora,mgongo anachora na husikii mtu anasema kanipapasa wala nini,halafu yuko faster na anavyojichanganya anakunywa uji wake wa kungu na kazi inaendelea hana hata wasi wasi,wanavyomkimbilia mkaka wawatu..
Nerves zishakata huyo, akiendelea sana atajiharibu.
Inabidi afikie muda aachane nayo hiyo kazi kama anautaka uanaume wake.