Kazi nyingine wanaume sio zenu

Kazi nyingine wanaume sio zenu

wanachora kote wengine ndio wanamfanyia indaaa nichore mgongoni sijui nichore kiua hapa kiunoni,lakini nimemambia kama hujisikii kuwachora sehemu nyeti wambie usione tabu,nilikua namuonea huruma,ila ni Hodari na anamkono mwepesi..lol
unamuonea huruma kwani alikuwa kazidiwa?
 
Nafuu huyo wa kucha braza kwa sababu hiyo hina huwa wengine wanachora mpaka kwenye mapaja na vifuani.
Kazi za aina hiyo kiasili ni za wanawake. Mwanaume anatakiwa apambane ili awe na nguvu kwenye jamii.

Lakini kwa kuwa wanapenda kitong, wapo tayari kufanya lolote hata kama ni kuchambisha ajuza ilimradi asile kwa jasho.
 
Enhe huyo namuita mwanamke wa shoka,ila mwanamme haielekei it looks bad..lol,ivi shosti kweli umkute mr anamchora mtu kiunoni utajisikiaje, nilimuonea huruma sanaaa lakini mwenyewe walaaaaaaaaaaaa anacheka tuu..
mr sitamuelewa .. ila kama anapata pesa nzuri aisee itanibidi nifumbe macho
 
Mkuu kupaka henna hamna tofauti na kuchora tattoo. Kama wanaume wenzake wanawachora wanawake tattoo sehemu mbalimbali za mwili kwa nn yeye asifanye?. Mm nampa pongezi maana amejiajiri kuliko wanaoshinda kutwa kulialia hawawezeshwi wanashindwa kuwa wabunifu kama huyo mchoraji
sijui ila sioni kama ni sawa kwa mwanamme...
 
wanachora kote wengine ndio wanamfanyia indaaa nichore mgongoni sijui nichore kiua hapa kiunoni,lakini nimemambia kama hujisikii kuwachora sehemu nyeti wambie usione tabu,nilikua namuonea huruma,ila ni Hodari na anamkono mwepesi..lol

Duh, kazi sana.

Haina tofauti sana na kazi ya kuwa mwanamitindo wa kiume halafu unatakiwa kuwavalisha wadada kwa ajili ya maonesho (catwalks).

Mwisho wa siku unaweza kujikuta hata msisimko unapotea kwa sababu unaziona sana na kuzizoea, maana najua ukisema uzitumie utaharibu kazi, hivi naanzaje kukaa namchora mtu ua sehemu ya siri?

Na ninavyowajua wanawake wanaweza kuwa wanapenda zaidi kuchorwa na mwanaume kuliko mwanamke mwenzao.
 
Hua mmevaa khanga tu wakati wa kucholwa sindio?? Basi muache jamaa afanye kazi yake kwa weledi tu.
 
hii sio normal kbs
Huyo mkaka fatilia vizur alivyo
Mwanaume kamili hawezi akapaka henna
Fatilia vizuri huyo mkaka utapata jibu yipoje
Ukishapata mwite kigwangala
Hahahaha
 
Mlisema mnataka usawa..ndiyo mkaiita equality..tena mkasema what a man can do a woman can do better...hivyo mlitegemea kazi zenyu tuwaachie kisha tuwaruhusu kuja kutumalizia nafasi katika kazi za kiume?...if its equality it should be 2way..mie hata nataka niwe nawafanya masaji au niwe kinyozi wenyu wa kuwanyoa ndevu za kule maasalini..
hahahahha apana sio kwa hili la kutia Henna ungeona walivyokua wanamfanyia Indaaa kaka mie hapa bado,mie nataka kijiua kiduuuchu hapa pajani poor him,na sauti yake ilivyo ndogo ....
 
hii sio normal kbs
Huyo mkaka fatilia vizur alivyo
Mwanaume kamili hawezi akapaka henna
Fatilia vizuri huyo mkaka utapata jibu yipoje
Ukishapata mwite kigwangala
Hahahaha
mie namuona ni mwanamme amevaa suruali sema ilikua tight,ila hodari...
 
Mara nyingi watu wa aina hiyo sio marijali au nao wana elements za kike.
 
Kazi za aina hiyo kiasili ni za wanawake. Mwanaume anatakiwa apambane ili awe na nguvu kwenye jamii.

Lakini kwa kuwa wanapenda kitong, wapo tayari kufanya lolote hata kama ni kuchambisha ajuza ilimradi asile kwa jasho.
Ndio hivyo inasikitisha na cha kushangaza kila kukicha wanazidi kuongezeka wanaopenda kazi nyepesi.

Itabidi na sisi tuanze kufanya hizo kazi zenu ambazo baadhi ya wanaume wenzenu wanazikimbia
 
Kwanza mkuu mleta uzi ilibid ufafanue kama na wewe ulipakwa hiyo "Hinna"
katika maeneo hayo ya kiuno au mapajani ili mjadala uanzie hapo.

upload_2017-5-25_10-16-55.jpeg
upload_2017-5-25_10-17-27.jpeg
upload_2017-5-25_10-17-17.jpeg
upload_2017-5-25_10-17-37.jpeg
 
Duh, kazi sana.

Haina tofauti sana na kazi ya kuwa mwanamitindo wa kiume halafu unatakiwa kuwavalisha wadada kwa ajili ya maonesho (catwalks).

Mwisho wa siku unaweza kujikuta hata msisimko unapotea kwa sababu unaziona sana na kuzizoea, maana najua ukisema uzitumie utaharibu kazi, hivi naanzaje kukaa namchora mtu ua sehemu ya siri?

Na ninavyowajua wanawake wanaweza kuwa wanapenda zaidi kuchorwa na mwanaume kuliko mwanamke mwenzao.
Mkuu huyu mkaka ana funuliwa paja anachora wala hana time,kiuno anachora,mgongo anachora na husikii mtu anasema kanipapasa wala nini,halafu yuko faster na anavyojichanganya anakunywa uji wake wa kungu na kazi inaendelea hana hata wasi wasi,wanavyomkimbilia mkaka wawatu..
 
Kwanza mkuu mleta uzi ilibid ufafanue kama na wewe ulipakwa hiyo "Hinna"
katika maeneo hayo ya kiuno au mapajani ili mjadala uanzie hapo.
Nimepakwa na mdada ambae ndio napenda maua yake hodari sanaaaaaaa na ananijulia,mkaka na wengine tulikodisha as tulikua kama watu 60 sasa nilijua lazima hao watu watachoka sasa huyo mdada alikuja kwangu akanitia henna mie na biharusi na watoto..
 
Dah! Chuo chao ni wapi jamani niende kusomea?? Miye nikiona chuchu tu huwa nimeshamalizana naye, sasa nkipewa tena neema ya kubonyeza bonyeza ili kuuchora mstari wa kimviringooo si ningelishiba mwaka mzima?? Hata pesa staki, usiku naenda piga roba ntakula. Dah! Kuna wenzetu wanafaidi. Si ajab mlikuwa ka 40 hivi jamaa likajipatia hapo ka 10 hivi. Saiz mbali mbali, natamani ningelikuwa huo mkono wake wa kushoto
Hahhahaha braza tujifunze tu nasisi. Ofa kama hizo si mchezo. Kwanz huyo Dada hajui wanaume wengine wanaenjoy tu kuzungukwa na hao wanawake tena plus kuwagusagusa ndo hatakumbuka kubeba magunia ya kazi gani
 
Duh! Kama mnachorwa mpk manyonyo na mm nitajifunza soon. Tena nitachora hata bure
utachoka kuziona mpaka hiyo hamu itakwisha huyu jamaa wala hana time ya kuzingalia sijui yukoje..
 
Back
Top Bottom