Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Katika kusaka saka ajira nimeshahudhuria katika interview kadhaa lakini kwa sababu moja au nyingine sikuweza kufanikiwa kupata nafasi hizo. Lakini cha ajabu, baada ya miezi sita au mwaka kazi hizo huridia kutangazwa tena. Nadhani watu wanaowachukua huwa wanashindwa kumudu majukumu yao huko mbele.
Tatizo nililoliona ni waajiri wengi kuchukua 'cheap labor' na mabosi au wakuu wa idara kuogopa kuajiri watu wanaoonekana kuwa ni threat kwao...
Jambo hili limeshatokea kwenye kampuni kama tano tofauti...