Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Akikujibu unitag mkuuDini huwa haipimwi kwa matendo ya waumini wake bali hupimwa kulingana na mafundisho yake, kwanza unaweza kunywa pombe na usifanye dhambi, ushawahi kujiuliza matendo ya kinyama na mauaji yanayofanywa na waislamu kwa mwamvuli wa uislamu?! Makundi ya kigaidi yanayojinasibisha na uislamu unayaona ni afadhali kuliko kunywa pombe ?
Utapigwa mawe, mi nakushauri tembea na hermentKAMPANI YANGU YA WATU 7 YA KULA KITIMOTO WAKATI NIPO CHUO MKRISTO NILIKUWA PEKE YANGU
Wawapeleke za waislam hafu matokeo yakitoka utasikia wakristo wanapendelewKwanza kwenye amri kumi hakuna inayokataza pombe. Hawa ni watawa ambao kwenye nadhiri zao hakuna kifungu kinasema wasinywe pombe ila wamefunga nadhiri za useja, umaskini na wito. Wakatoliki tunaruhusiwa kunywa hata sherehe zetu zote au shughuli zetu zote dunia nzima hazikosi mvinyo. Yesu alitengeneza mvinyo kama muujiza wake wa kwanza pale Kaanani sasa wewe unatwambia nini?
Mimi naona usipeleke watoto wako huko kwenye shule za kikatoliki, wapeleke kwenye shule za kiislam maana hao ndo pombe ni haram. Tukae tufuatilie wote ni kipindi kipi baa huwa zinakosa wateja je ni kwaresima au Ramadhan?
Nimewaona wapagani wengi, lakini sijaona wakiuaDini inayoruhusu kuua kwa jina la Alah ni haram na ni ya kipagani kupindukia.
Na biblia inasema usimpe Jirani yako kileo. Pombe ni dhambi ni sawa na mtu afanye zinaa kisha aseme lakini sijafumaniwa au sijapatwa na ugojwa was zinaa. Biblia ikisema ulevi ni dhambi ni dhambi hakuna cha askofu, nabii, mtume, mtume na nabii, mchungaji, mchungaji Kiongozi, padre, kadinari , Papa, babu wa loliondo au malaika anayeweza kubadilisha hilo. Na walevi hawataingia ktk uzima was milele period.Wakatoliki wanaruhusu unywe lakini usilewe
Hata kama mweka picha alikuwa na ajenda hasi, hilo halina madhara yoyote ya kiimani kwa sisi RC. Kama ni haramu huko kwenu. Sisi kama kwa upande wa nguruwe bia na vileo vingine halali sio jambo la kificho. Hizi ni tofauti za kiimani. Wengine kuoa wake wengi ruksa wengine wao ruksa ni mke mmoja tu. Wengine talaka ruksa wengine la. La msingi ni kila mmoja wetu kuheshimu imani ya mwenzake kwa kutokukashifiana. (Awali ya yote haikuhusu).Siyo mtalaam wa graphics but I have a feeling kwamba wataalamu wame temper na hizo picha.Inawezekana kabisa comments na judgments ziko based on wrong premise, if my feelings are correct.Karibuni watu wa graphics kwa professional inputs.
km wew ndie uliepost na kuisamba hii pc mitandao yote kuanzia fb mpaka huku huku hujui km ni kweli au laah? au ni pc za kufoji ili kuichafua dini flani.
Hivi vitabu vya dini wanavyo tufundishia sivinakataza yani hapa ndio dini unaona usanii.